Ifahamu bangi na madhara yake

Ndio maana nakusisitiza, kama kichwa chako chepesi/kina wenge bila hata kuvuta, usijaribu utakuwa chizi kabisa. Vinginevyo faida zake ni nyingi ikitumika vizuri
Sio kichwa ni ubongo ndio unaoathirika, usifikiri mimi sijui.Hamna suala la kichwa chepesi au kizito ni ubongo.Soma vizuri uelewe kijana
 
Skia we bwabwa,usikadirie watu mchicha mwiba we,wanakukanda et...

Huu mwaka wa 18 navuta bangi,nimeuza miaka 10....
Leo unitishie polisi unaumwa mavi wewe.
Acha bangi utalia sana badae kwa kwa madhara kama vile kukonda,kikohozi,kansa ya mapafu,kukakamaa mwili na mengine mengi.Halafu acha kuuza bangi polisi watakuua live.
 
Nikadhani wazi kabisa wewe ni Daktari kumbe muhuni tu.
hakuna ulichozungumza hapo.
Mimi najua mitishamba na pharmaceutical drugs pia huwezi nidanganya kitu najua inside and out.
 
Wewe ni taahira na zwazwa yaani huoni kua ubongo wa binadamu wote ni the same,na wote tuna kemikali inayoitwa dopamain ambayo ukivuta bangi huzalishwa kwa wingi na kupelekea ubongo kutekeleza reaction za mwili zaidi ya inavyotakiwa?
Huna lolote unalolijua kuhusiana na hayo unayo andika au kujifanya unayajua! Pole sana!


Pia dhumuni la uzi wako ni kujifunza lakini pia huonekani kutaka hata hilo lililokua dhumuni lako!

Kwa minajili hiyo nikupe pole sana ndugu, ila nikushauri achana na bhangi si nzuri kwako!

Kwa jinsi akili yako ilivyo na bangi ilivyo ni vitu viwili tofauti kabisa, infaa kuonewa huruma na kupata ushauri wa karibu na mapema, bangi si kitu kinachowezwa kutumika na mtu yoyote, inachagua nani atumie na nani asitumie

Muhimu nikujitathimini tu na kuona kama inakufaa ama lah, ila bahati mbaya wengine hawajijui mpaka watu wengine waone, na ni kama hivi baadhi yetu tulie ona mawazo yako na kukushauri, pole sana mkuu
 
Ila kuna watu wanavuuta hii kitu tena kwa muda mrefu sana na wapo fresh sana
Ndugu watu wanaficha siri nyingi mno,bangi haijawahi muacha mtu salama lazima itakuathiri
 
Mimi nikajua unatupa REAL LIFE EXPERIENCE WITH MJANI 🤣🤣🤣😂😂😂
 
Wewe ni taahira kabisa na unavyoendelea kupost na kureply huu uzi unaendelea kuthibitisha kiasi gani una hasira za kijinga.Mimi ni mwanaume tena dume la mbegu.
Hamna mtu hapo! Jitathimini vizuri, una element za kike kama sio[emoji304]
 
Haya bwana,ila mimi bangi nimeiacha wala sitokaa nirudie kuivuta.
 
Hamna mtu hapo! Jitathimini vizuri, una element za kike kama sio[emoji304]
Sasa unaforce nini ndugu. Au hilo jina langu linakufanya uchanganyikiwe?Hilo ni neno ambalo Ben Stiller mchekeshaji wa marekani alikua anapenda sana kulitaja kwenye muvi yake ya tower heist.
 
Sio familia tu, bangi ina athiri ubongo kitu ambacho ni organ muhimu kuratibu matendo yote ya mwili. Sasa wewe unajaza uchafu kwenye ubongo unategemea usiwe kichaa? Lazima utapata kichaa na zaidi ya kichaa.
Umeiongelea bangi Kwa kuambiwa bangi haipo ivyo......🤓
Too much of everything is harmful
 
Sasa unaforce nini ndugu. Au hilo jina langu linakufanya uchanganyikiwe?Hilo ni neno ambalo Ben Stiller mchekeshaji wa marekani alikua anapenda sana kulitaja kwenye muvi yake ya tower heist.
Nilishawishika kufuata profile yako! Nimegundua mengi kuhusiana na wewe! Cha kwanza huna utulivu wa kifikra, na haupo tayari kujifunza, nyuzi nyingi unazo zianzisha unapotelea njiani, haswa pale unapo elekezwa na bahati mbaya unajikuta ni mweupe kabisa kuliko uelewa wako! Kuna uzi wa most high, kuna uzi wa damu na kuna maujinga mengine meengi, ambayo hata wewe mwenyewe huyaelewi!

Kwa minajili hiyo, uwezo wa akili yako ni mdogo sana kuhimili matumizi ya bangi, pia hata mwili wako hauwezi kupambana na effects zake kwa ujumla achilia mbali kui control baada ya kuitumia, hivyo ulikua sahihi kuiacha!

Pia kama hutaki kujifunza, kaa na hayohayo unayojua, kwamaana haupo tayari kupokea vitu vipya
 
Nimevuta bangi zote ya Arusha na Kilimanjaro. Pia nimewahi vuta bangi yenyewe bila kushabu na kwa kushabu pia.Reaction ni ile ile ndugu.Trust me.
Ndugu mtoa mada ungefanya kama unatueleza athari tano za matumizi ya BANGI kwa kuweka uchambuzi wa kueleweka na ni jinsi gani madhara yake yanatokea mwilin na sio hizo porojo zako
 
Bangi ni mbaya mno mimi nimetumia toka mwaka 2018 nikianza kwa kuvuta bila rizla nilikua nakula stick nzima,mpaka hatua ya kunyonga mwenyewe kwenye rizla.Bangi nimbaya mno nakushangaa wewe ndugu yangu unaisifia ulishawahi itumia ukaona madhara yake?
eti 2018 watu wamezaliwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…