Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.

Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo
  • Rais anaheshimika kama Mungu
  • Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya Marekani.
  • Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
- Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.

- Hakuna vyama vingi.

- Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.

- Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
  • Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
  • Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
  • Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Haina ubalozi Tanzania.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
  • Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
  • Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.
  • Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
  • Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
  • Hakuna vyama vingi.
  • Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
  • Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
  • Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
  • Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
  • Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
  • Haina ubalozi Tanzania.
  • Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
20241012_075900.jpg
 
Part 2
-Ndio nchi pekee duniani ambayo rais wake hajawahi kufanya ziara Africa.

-Ndio nchi pekee duniani ambayo hairuhusu mtu kuomba uraia.

-Ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kutoka nje ya nchi isipokuwa kwa kazi maalum ya kiserikali...👇🏾
-Hutumia kalenda ya peke yao, yaani kwao kwasasa ni mwaka 105, huanza kuhesabu mwaka aliozaliwa babu yake rais wa sasa Kim john Un.

-kuvaa jinzi marufuku.

-Bangi ruksa kuvuta,kulima na kuuza.

-Ni marufuku kuongea kiingereza ukigundulika unaongea unanyongwa.
-Ndio nchi inayoongoza kwa mabalozi wake wakistaafu kutorudi nchini humo yaani hutorokea hukohuko.

-Raia wa korea kusini haruhusiwi kabisa kuingia korea kaskazini, ila raia wa korea kaskazini anaruhusiwa kuingia korea kusini bila viza.

-Ndio nchi yenye rais mdogo zaidi duniani
-Rafiki yake mkubwa ni China.

-Hakuna mitandao ya kijamii Fb, 𝕏na mingine.

-Kinyesi ni mali ya serikali na kuna siku maalum ya kukusanya, watu huibiana sana vinyesi.

-Kujiua ni ruksa ila ufe kweli, bila hivyo chamoto utakipata.

Hiyo ndio korea kaskazini.

👇🏿👇🏿👇🏿
*Kinyesi ni mali ya serikali sababu hutumia kuzalisha umeme, na nchi hiyo haina umeme wa kutosha na Mwingi huishia kwenye mitambo na vinu vya nyuklia. Hivyo wananchi wanapoambiwa wakusanye vinyesi wengine huibia wenzao.
Credit: Young Gifted: X
20241012_075847.jpg
20241012_075832.jpg
 
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini.....haviruhusiwi kuingia nchini humo
- Rais anaheshimika kama mungu,
-Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.

-Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.

-Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.

-Hakuna vyama vingi.

-Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.

-Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
-Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.

-Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.

-Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.

-Haina ubalozi Tanzania.

-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.

- Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,

Korea ya Kaskazini ni nchi yenye Utawala wenye Siasa za Itikadi kali zaidi ya Kikomunisti/Ujamaa hapa duniani.
Itikadi au Misingi mikali zaidi ya kikomusti/ujamaa iitwayo 'Juche' ndio hutekelezwa kwa asilimia Mia Moja nchini Korea ya Kaskazini.

Uovu na ghiriba za kiutawala ni nyingi Sana, Hakuna Uhuru Wala demokrasia, na kwa kutumia njia za ghiriba, uovu, ulaghai na hila iliyopindukia, watawala wa nchi hiyo wameipa jina zuri Sana nchi hiyo eti kuwa ni 'Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea ya Kaskazini' wakati ndani ya nchi hiyo hakuna hata chembe Wala harufu ya kuwepo kwa demokrasia, ni full udikteta kwa kwenda mbele. Kuishi Korea ya Kaskazini ni kuishi Jehanamu, it is a real hell !
But all in all, North Korea has the most repressive regime in the World, North Korea has the most craziest regime in the World.

Na kwa bahati mbaya zaidi kwa nchi yetu hii ya Tanzania, hata Mwl. Nyerere aliiga mtindo wa Sera, Itikadi na Siasa za Kikomunisti/Ujamaa wenye misingi hiyo hiyo ya itikadi ya Juche kutoka kwa nchi hiyo ya Korea ya Kaskazini, alifanya hivyo baada ya yeye mwenyewe binafsi kuanzisha urafiki wa karibu Sana na mtawala wa nchi hiyo ambaye alikuwa Babu yake huyu Rais wa Sasa wa nchi hiyo. That's why ndani ya nchi yetu hii kwa kweli mambo siyo shwari kabisa, kumekuwa na mikwamo mingi Sana ya kisiasa na maendeleo kutokana na kuiga mtindo huu mbaya Sana wa siasa za kikomunisti 'juche'.
 
Part 2
-Ndio nchi pekee duniani ambayo rais wake hajawahi kufanya ziara Africa.

-Ndio nchi pekee duniani ambayo hairuhusu mtu kuomba uraia.

-Ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kutoka nje ya nchi isipokuwa kwa kazi maalum ya kiserikali...👇🏾
-Hutumia kalenda ya peke yao, yaani kwao kwasasa ni mwaka 105, huanza kuhesabu mwaka aliozaliwa babu yake rais wa sasa Kim john Un.

-kuvaa jinzi marufuku.

-Bangi ruksa kuvuta,kulima na kuuza.

-Ni marufuku kuongea kiingereza ukigundulika unaongea unanyongwa.
-Ndio nchi inayoongoza kwa mabalozi wake wakistaafu kutorudi nchini humo yaani hutorokea hukohuko.

-Raia wa korea kusini haruhusiwi kabisa kuingia korea kaskazini, ila raia wa korea kaskazini anaruhusiwa kuingia korea kusini bila viza.

-Ndio nchi yenye rais mdogo zaidi duniani
-Rafiki yake mkubwa ni China.

-Hakuna mitandao ya kijamii Fb, 𝕏na mingine.

-Kinyesi ni mali ya serikali na kuna siku maalum ya kukusanya, watu huibiana sana vinyesi.

-Kujiua ni ruksa ila ufe kweli, bila hivyo chamoto utakipata.

Hiyo ndio korea kaskazini.
*Kinyesi ni mali ya serikali sababu hutumia kuzalisha umeme, na nchi hiyo haina umeme wa kutosha na Mwingi huishia kwenye mitambo na vinu vya nyuklia. Hivyo wananchi wanapoambiwa wakusanye vinyesi wengine huibia wenzao.
Hapa 👇👇👇Nilitaka kuelewa kuliko mwandishi dunia ya ajabu hii.

Kinyesi ni mali ya serikali na kuna siku maalum ya kukusanya, watu huibiana sana vinyesi.
 
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini.....haviruhusiwi kuingia nchini humo
- Rais anaheshimika kama mungu,
-Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.

-Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.

-Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.

-Hakuna vyama vingi.

-Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.

-Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
-Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.

-Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.

-Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.

-Haina ubalozi Tanzania.

-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.

- Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
-Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.

-Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.

-Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.

-Hakuna vyama vingi.

-Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.

-Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
-Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.

-Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.

-Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.

-Haina ubalozi Tanzania.

-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
Sio nchi ya kuishi hiyo.
 
Back
Top Bottom