Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Hao naona umefanya chips yai mixer nyama kuku.
 
Wewe bruda mtoro, pale Friary mlikuwa mnasomea upadri au mlikuwa mnajifunza maisha ya ubruda wa Mtakatifu Fransisco wa Asizi ?
 
Usikute hata hujawahi ajiriwa JF Ina waongo
 
Nasikiaga huko ndiko aliko toka BABA,
nakumbuka miaka kadhaa nilikuja kumzika MAMA (mke wa baba)
Kupitia daraja la magufuli, LUPIRO, KICHANGANI, hadi IKUNGUA....
Tulipo zika tu, nikasepa, hadi leo na baadhi ya ndugu zangu siwajui, hata LUGHA yao siijui kabisaaa!!
ILA NIKISIKIAGA PANAJWA mtima una lipuka,
Na kila wa huko ninaye kutanana naye nahisi kama ni ndugu yang,
HATA PISI ZA HUKO, NIKI KUTANA NAZO, nahofia kupenyeza mdudu,
ISIJE NASA KWA SISTER ikawa TIMBWILI TIMBWILI....

ila pako pouwa, japo njia ni mbaya mno kutoka mikumi to Ifakara....
 
Kiboko yenu kwenye soka walikuwa Kasita Seminary.
Umenikumbusha siku moja bwana tunakipiga pale uwanjani si wakatufunga goli moja, dakika za lala salama jamaa mmoja akaenda kukaa golini, ukapigwa mpira wakati unataka kutoka nje jamaa akauunganisha kwenye nyavu na watu wakashangilia na mechi ikaisha hapo hapo kwa vurugu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…