Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Hapo kwenye Alana za wakoloni zinaonyesha sehemu walikoficha Mali zao wakati wanaondoka nchini baada ya kututawala Kuna Vitu kama madini walificha na kuweka Alana zao ili baadae waje wavichukue
 

Masahihisho: Ni Wilaya ya Ulanga na siyo Mahenge.
 
Hilo kanisani walikuja wenyewe kulifanyia ukarabati wakatoa madirisha na milango ya zamani wakaweka vipya.Hivyo vya zamani ndivyo mali yenyewe
 
Mahenge pekee Ina site 300 za hazina zilizofichwa kipindi cha vita ya pili,kwa mujibu wa ramani za site zote nchini.
Waisrael wanajenga barabara ya lami wanatafuna hizo hazina balaa.
Hizo barabara wanazijengea wap
 
Mbunge wenu Almas ni mmojawapo anaewaachia hayo mashimo
 
Mahenge siyo Wilaya ni makao makuu ya wilaya ya Ulanga
 
Madini yote yanayopatikana huko Tunduru chanzo chake ni Mahenge kwenye mbuga ya Selous,hio wilaya nimekaa miaka miwili kuna dada mmoja anaitwa Nanka hivi yupogo ?
 
Nipo huku Mahenge Community Outreach ngoja tatoa mrejesho
 
Mbona hujasema kwamba kuna Junior Seminari ya St Francis maarufu kama Kasita Seminari ambayo imezalisha vipanga mbalimbali wanaokimbiza kwenye sekta nyingi hapa nchini.
 
Hebu weka na picha basi ili tujikumbushe. Nimeishi kwa miaka mingi sana huko Mahenge na pia Malinyi.

Tena enzi zile za kupandisha mlima Ndororo na landrover 109! Huku ikiwa imejaza mzigo wa kutosha kutoka Ifakara, halafu abiria mnakaa juu ya machuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…