Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

Kuna uzi mmoja pia nimeoana humu ndani jmaa wanabishana kuwa urusi nayo imepakana na marekani


Sas wakifanikiwa kuitwa urkraen s ndio itakuwa kubwa zaid
Ndio zimepakana kwa kutenganishwa na maji-maritime border
Us-su-maritime.jpg
 
nasikia ukienda soma Urusi urejeapo Tanzania, unakuwa ka umevurugikiwa iviii -mawenge mawengeee hahaaaaa nahisi ni zile toti za pombe kali kuliko k-vant asubuhi
Kuna watu kama watatu ninaowajua,wako hvyo pombe sana,pia kama machiz,ila kazi wanazifanya kiufasaha wana akil sana
 
IJUE NCHI KUBWA KULIKO ZOTE.

Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani?

Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu.

Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi kavu duniani.

Na imepakana na nchi 14 ambazo ni North Korea, China, Norway, Finland, Ukraine, Georgia, Mongolia, Latvia, Estonia, Azerbaijan, Belarus, Lithuania, Abkhazia na South Ossetia.

Urusi Pia inajumla ya wakazi 145,934,000 yaani Wanaume wakiwa 67,640,000 ambao sawa na 47% ya wakazi Wake na wanawake wakiwa 78,294,000 sawa na 53% ya wakazi wake wote.

Lakini pia Russia ni nchi ambayo imeingia (inapatikana) katika mabara mawili tofauti yaani Asia na Ulaya licha ya kuwa Russia rasmi hupatikana Bara la Asia
Pia maajabu yaliyopo ndani ya Russia ni kwamba kuna baadhi ya maeneo yanatofautiana hadi masaa 11. Yaani eneo moja la Russia linaweza kua saa 12 asubuhi wakati huo huo eneo jingine ni saa 10 jioni.

Hiyo ndo Russia na hayo ni machache kuhusu Urusi
Asante Mwl
ila ungedondoshea karamani hapa kangenogesha somo
 
Mada ya kijinga. Mtu yeyote aliyeishia darasa la saba akipewa atlas na kuulizwa maswali haya atayajibu yote!!!

Kipi kipya kuhusu nchi kubwa kuliko zote duniani na mipaka yake???
Si kila Mada lazima ikulenge wewe hivyo kama unsona ya kijinga tuache wajinga tujifunze.

Unazani kwa vile wewe unafahamu kila Mtu atafahamu?
 
Hiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Hujawahi kuisikia hiyo?

Hujafikiria kwa nini Mfano Rais wao akitoa tamko wanasema alitoa tamko holo muda flani kwa masaa ya Moscow na hawasemi kwa masaa ya Russia.

Hivyo wakisema kwa masaa ya Russia italeta mkanganyiko kuwa muda halisi ni upi.
 
Kibete ni nn?

Ni sawa na Dwarf ...denoting something, especially an animal or plant, that is much smaller than the usual size for its type or species.

Hivi sasa kiswahili ni kigumu kuliko kijapani
 
Back
Top Bottom