Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tufafanulie mkuu tunapenda kujifunzaSio kamba mkuuView attachment 2136407
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufafanulie mkuu tunapenda kujifunzaSio kamba mkuuView attachment 2136407
Hongera zimuendee rais wao kwa kuliwezesha hiloPia maajabu yaliyopo ndani ya Russia ni kwamba kuna baadhi ya maeneo yanatofautiana hadi masaa 11. Yaani eneo moja la Russia linaweza kua saa 12 asubuhi wakati huo huo eneo jingine ni saa 10 jioni.
Asee nilikua najua Tabora imechukua eneo kubwa la dunia kumbe nilikua najidanganya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila watuHongera zimuendee rais wao kwa kuliwezesha hilo
huwa jamaa ndio zao. Kunakipindi walitaka kukiamsha na Georgia.Yani pamoja na ukubwa wote huo bado ana tamaa na kaeneo kadogo ka ukraine?
Ni sababu tu isiyo na maana yoyote kwani kama ni kupigwa anapigwa tu hata kwa kutokea Poland, Finland na Norway.Sasa kama yuko karibu hv,kwann anaogopa ukraine isijiunge na NATO eti atakuwa hatarin
We mama kwanini unakuwaga MKUDA sana? Yani unaamini kwamba kila mtu aliyeishia la saba kama wewe alikariri Atlas??Mada ya kijinga. Mtu yeyote aliyeishia darasa la saba akipewa atlas na kuulizwa maswali haya atayajibu yote!!!
Kipi kipya kuhusu nchi kubwa kuliko zote duniani na mipaka yake???
Ni kweli mkuu. Jitahidi usome some vijitabu mkuu. Mengine huhitaji kupinga pinga kama faraoHiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Stress hizo mkuu maisha yakikupiga sana unajikuta unakasirika bila hata sababu.Binafsi sijaona muanzisha uzi kakosea wapi😅😅Mkuu kuna wengine hawajui kusomaa atlas na c mbaya mleta mada akitujuzaa ,kwan ameyumia bando lako mkuu kuletaa hilii bandiko hapa achaa hasiraa
Atlas ndo nini.Mada ya kijinga. Mtu yeyote aliyeishia darasa la saba akipewa atlas na kuulizwa maswali haya atayajibu yote!!!
Kipi kipya kuhusu nchi kubwa kuliko zote duniani na mipaka yake???
Inawezekana ukubwa wake unatokana na kupokonya nchi nyingine ndo utengenezwaji wa Russia ,huko kunakozama nakunakucha utofauti wake zilikua nchi tofauti kuunganishwa nchi moja zenye majiratofauti ukumbuke iko ndani ya mabara mawili....lenn kibokoHiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Hiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Pia maajabu yaliyopo ndani ya Russia ni kwamba kuna baadhi ya maeneo yanatofautiana hadi masaa 11. Yaani eneo moja la Russia linaweza kua saa 12 asubuhi wakati huo huo eneo jingine ni saa 10 jioni.
Neighbours but enemies3.russia ukubwa wake imepakana ana marekani huku boundary yao ikiwa ni maji ya bahari ambayo wakati wa baridi kali maji hayo huganda na kugeuka barafu kiasi kwwmba unaweza kutembea juu kutoka russia mpaka marekani.
Mtaalamu tupe dondoo Russia inapakana na Norway katika eneo lipi maana ukitazama ramani utagundua majirani wa Norway ni Denmark, Sweden na UK kwa mbali kabisaNa imepakana na nchi 14 ambazo ni North Korea, China, Norway, Finland, Ukraine, Georgia, Mongolia, Latvia, Estonia, Azerbaijan, Belarus, Lithuania, Abkhazia na South Ossetia.
Asante sana mkuu kwa kunipa msamiati mpyaNi sawa na Dwarf ...denoting something, especially an animal or plant, that is much smaller than the usual size for its type or species.
Hivi sasa kiswahili ni kigumu kuliko kijapani
ongeza na Hii,Bando langu leo limenifanya nijifunze mambo kadhaa katika huu uzi.
1.russia ndiyo nchi kubwa duniani.
2.mashariki na magharibi ya russia inatofautiana kwa masaa 11.
3.russia ukubwa wake imepakana ana marekani huku boundary yao ikiwa ni maji ya bahari ambayo wakati wa baridi kali maji hayo huganda na kugeuka barafu kiasi kwwmba unaweza kutembea juu kutoka russia mpaka marekani.
Kumbe mrusi jirani yake ni marekani tena wametenganishwa na bahari tu.
Nashkuru Mungu kwa kunifanya nijiunge JF