Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Yuko sahihi, mbona Marekani nako majimbo yake yanatofauti kubwa ya masaa hadi 8 mkuu?Hiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sahihi, mbona Marekani nako majimbo yake yanatofauti kubwa ya masaa hadi 8 mkuu?Hiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Hahah kumbe ulitufuatilia?Kuna uzi mmoja pia nimeoana humu ndani jmaa wanabishana kuwa urusi nayo imepakana na marekani
Sas wakifanikiwa kuitwa urkraen s ndio itakuwa kubwa zaid
Nani kakwambia? Waliiuza kipindi kile kwa kuwa haikuwa na watu, haina resources na ni barafu tu. Walikuwa na vita na Uingereza wamekaa chonjo ila kuweka kambi Alaska wakashindwa wakaona waiuze kwa nchi nyingine yenye ugomvi na Uingereza, Marekani kupindi kile hapatani kabisa na Uingereza wakamuuziaRassia waliiiuza Alaska kwa usa ili imperror wakipindi hicho afanye harusi
Naona Vita ya kuidhibiti Ukraine imekuwa ngumu.Nani kakwambia? Waliiuza kipindi kile kwa kuwa haikuwa na watu, haina resources na ni barafu tu. Walikuwa na vita na Uingereza wamekaa chonjo ila kuweka kambi Alaska wakashindwa wakaona waiuze kwa nchi nyingine yenye ugomvi na Uingereza, Marekani kupindi kile hapatani kabisa na Uingereza wakamuuzia
🤣🤣Kumbe Urusi inapakana na US kwa ukaribu kiasi hicho,sasa nimejua kwanini US kaogopa kupeleka jeshi Ukreine.
Ukraine ilikua ndani ya ussr.Yani pamoja na ukubwa wote huo bado ana tamaa na kaeneo kadogo ka ukraine?
Hizi silaha hatari sanaHawa warusi hatari....
Zile silaha zao mathalani THERMOBARIC ROCKET LAUNCHERS zinazotoa moto ambao huichemsha hewa iliyoko ndani ya eneo la kilomita 6 kutoka yalipofyatuliwa huwa yana uwezo wa kuunguza sana na hapo bado zile CLUSTER BOMBS zinazolipukia angani na kuangusha vipande vipande vyenye kufanya uharibifu mkubwa.....
Iko karibu vilevile na maeneo ya Marekani (jimbo la Alaska liko ng'ambo ya mlango wa Bering) na Japani (kisiwa cha Hokkaido kiko ng'ambo ya mlango wa La Pérouse.Kuna uzi mmoja pia nimeoana humu ndani jmaa wanabishana kuwa urusi nayo imepakana na marekani
Sas wakifanikiwa kuitwa urkraen s ndio itakuwa kubwa zaid
fact ni kwamba alaska iliuzwa miaka iyo na urusi kwa mmarekaniMaji yanayotenganisha US(Alaska) na Russia yana upana ya 2.5 miles na yanaganda kipindi cha baridi, hivyo unaweza tembea kwa miguu toka US mpka Russia
Siyo tabora tu, kifupi nchi za Rwanda au Burundi ni ndogo kwa mkoa wowote ule wa Tanzania (Bara)
Nchi ya Burundi ina eneo dogo ukilinganisha na wilaya mbili tu za Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma!