Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
🙏Asante sana mkuu kwa kunipa msamiati mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Asante sana mkuu kwa kunipa msamiati mpya
Ndiko twendako na mikataba tunayoisaini huko ughaibuni ipo siku tutaomba Marekani watunusuru kumbe tunajichomekaongeza na Hii,
Waliuza Jimbo la Alaska wakiwa wamewaka yaani wamepiga mavitu Yao Ugimbi aina ya Vodka
Wakauza Kwa vijisent
(in Chenge voices )
Pesa ikatumika kumcheza ngoma mwali aliyekwisha tolewa bikra na wahuni
Wakaja shtuka pombe ilivyoisha wapo na Hangover Ndio wanaona
Bendera Yenye manyota nyota Inapepea
Walipiga yowe lakini haikusaidia
Tsar:Hawa American wamevamia nchi yetu na kuweka bendera Yao!
Yktak kolochev:Mweshimiwa mfalme mbona umeuza Alaska Jana usiku!
Tsar:Nimeuza Alaska Jana hii inawezekanaje?
Yktak kolochev:Ulikua umelewa sana Mweshimiwa mfalme na Bolishev alipotaka kukuzuia ulimpiga risasi ya kichwa binamu Yako Ndio kafa hivyo!
Tsar:Ati niniiiiii,uwiiiiiii uwiiiii inawezekanaje?
Yktak kolochev:Mkataba wa kuuza Alaska huu hapa Kuanzia Leo kule ni Marekani yaani Tena Jana ulivyolewa Ulikua na furaha sana kiasi Kwamba ulimtoa mke wako Kwa Mr Washington Jr kama zawadi amtumie apendavyo na Kwa taarifa za chini chini alimpa 076...yaani
Tsar:mamaaaa weeeee uwiiiiiii Vodka vodka vodka
Imenitendea Nini Mimi Leo ni msiba mkubwaaaaa,najutaaaaa!
😁😁😁😁😁🔥🔥🔥
bro sio tamaa ya eneo ni kuwa NATO wanataka kumkaribia kuweka makombora yao nchini UkraineYani pamoja na ukubwa wote huo bado ana tamaa na kaeneo kadogo ka ukraine?
kibete ni dwarf au mbilikimoNi sawa na Dwarf ...denoting something, especially an animal or plant, that is much smaller than the usual size for its type or species.
Hivi sasa kiswahili ni kigumu kuliko kijapani
IJUE NCHI KUBWA KULIKO ZOTE.
Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani?
Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu.
Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi kavu duniani.
Na imepakana na nchi 14 ambazo ni North Korea, China, Norway, Finland, Ukraine, Georgia, Mongolia, Latvia, Estonia, Azerbaijan, Belarus, Lithuania, Abkhazia na South Ossetia.
Lakini pia nchi hii imepakana na Taifa la Marekani ikiwa imetenganishwa na Bahari.
Urusi Pia inajumla ya wakazi 145,934,000 yaani Wanaume wakiwa 67,640,000 ambao sawa na 47% ya wakazi Wake na wanawake wakiwa 78,294,000 sawa na 53% ya wakazi wake wote.
Lakini pia Russia ni nchi ambayo imeingia (inapatikana) katika mabara mawili tofauti yaani Asia na Ulaya licha ya kuwa Russia rasmi hupatikana Bara la Asia
Pia maajabu yaliyopo ndani ya Russia ni kwamba kuna baadhi ya maeneo yanatofautiana hadi masaa 11. Yaani eneo moja la Russia linaweza kua saa 12 asubuhi wakati huo huo eneo jingine ni saa 10 jioni.
Hiyo ndo Russia na hayo ni machache kuhusu Urusi
Mkuu km za mraba 17 milioni zinakuwaje sawa na mile 12,000?
Russia anavifanya vita hivyo viwe muda mrefu anaajenda yake nadhaniIla wanaliwa kichwa na Ukraine kinchi kama Rwanda tu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Siyo tabora tu, kifupi nchi za Rwanda au Burundi ni ndogo kwa mkoa wowote ule wa Tanzania (Bara)Tabora ni kubwa kuliko nchi ya Rwanda au Burundi.
What is the biggest dwarf planet?kibete ni dwarf au mbilikimo
Hivi kwa nn tz tusiivamie burundi na rwandwa?Siyo tabora tu, kifupi nchi za Rwanda au Burundi ni ndogo kwa mkoa wowote ule wa Tanzania (Bara)
Nchi ya Burundi ina eneo dogo ukilinganisha na wilaya mbili tu za Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma!
[emoji38][emoji38]Na Russia ndo nchi pekee ukiomba maji ya kunywa kwa majirani unapewa pombe
JF ni kisima cha Maarifa ndio maana wakasema ni Nyumbani kwa Wenye fikira kuu(home of greater Thinkers).Bando langu leo limenifanya nijifunze mambo kadhaa katika huu uzi.
1.russia ndiyo nchi kubwa duniani.
2.mashariki na magharibi ya russia inatofautiana kwa masaa 11.
3.russia ukubwa wake imepakana ana marekani huku boundary yao ikiwa ni maji ya bahari ambayo wakati wa baridi kali maji hayo huganda na kugeuka barafu kiasi kwwmba unaweza kutembea juu kutoka russia mpaka marekani.
Kumbe mrusi jirani yake ni marekani tena wametenganishwa na bahari tu.
Nashkuru Mungu kwa kunifanya nijiunge JF
JF bwana dahongeza na Hii,
Waliuza Jimbo la Alaska wakiwa wamewaka yaani wamepiga mavitu Yao Ugimbi aina ya Vodka
Wakauza Kwa vijisent
(in Chenge voices )
Pesa ikatumika kumcheza ngoma mwali aliyekwisha tolewa bikra na wahuni
Wakaja shtuka pombe ilivyoisha wapo na Hangover Ndio wanaona
Bendera Yenye manyota nyota Inapepea
Walipiga yowe lakini haikusaidia
Tsar:Hawa American wamevamia nchi yetu na kuweka bendera Yao!
Yktak kolochev:Mweshimiwa mfalme mbona umeuza Alaska Jana usiku!
Tsar:Nimeuza Alaska Jana hii inawezekanaje?
Yktak kolochev:Ulikua umelewa sana Mweshimiwa mfalme na Bolishev alipotaka kukuzuia ulimpiga risasi ya kichwa binamu Yako Ndio kafa hivyo!
Tsar:Ati niniiiiii,uwiiiiiii uwiiiii inawezekanaje?
Yktak kolochev:Mkataba wa kuuza Alaska huu hapa Kuanzia Leo kule ni Marekani yaani Tena Jana ulivyolewa Ulikua na furaha sana kiasi Kwamba ulimtoa mke wako Kwa Mr Washington Jr kama zawadi amtumie apendavyo na Kwa taarifa za chini chini alimpa 076...yaani
Tsar:mamaaaa weeeee uwiiiiiii Vodka vodka vodka
Imenitendea Nini Mimi Leo ni msiba mkubwaaaaa,najutaaaaa!
😁😁😁😁😁🔥🔥🔥
Ukisikia kisima cha gas basi na Russia ipo hivyo wana vyanzo vingi wamepata kuwa na bahati ya kumiliki na madini.Wamewezaji kuendelea kuliko Tanzagiza?