mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Rassia waliiiuza Alaska kwa usa ili imperror wakipindi hicho afanye harusiMaji yanayotenganisha US(Alaska) na Russia yana upana ya 2.5 miles na yanaganda kipindi cha baridi, hivyo unaweza tembea kwa miguu toka US mpka Russia
Sasa hivi sio USSR ilikuwa ikiitwa hivyo wakati wa Muungano wa Soviet, sasa hivi ni Russia (Kiingereza) au Urusi (Kiswahili)Urusi (Russia)/ USSR
Ni kweli, kutoka magharibi mwa urusi mfano Moscow na mashariki mwa urusi mfano Anadyr ni hayo masaaHiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Hujawahi kuisikia hiyo?Hiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Ndio zimepakana kwa kutenganishwa na maji-maritime borderKuna uzi mmoja pia nimeoana humu ndani jmaa wanabishana kuwa urusi nayo imepakana na marekani
Sas wakifanikiwa kuitwa urkraen s ndio itakuwa kubwa zaid
Kuna watu kama watatu ninaowajua,wako hvyo pombe sana,pia kama machiz,ila kazi wanazifanya kiufasaha wana akil sananasikia ukienda soma Urusi urejeapo Tanzania, unakuwa ka umevurugikiwa iviii -mawenge mawengeee hahaaaaa nahisi ni zile toti za pombe kali kuliko k-vant asubuhi
Sasa kama yuko karibu hv,kwann anaogopa ukraine isijiunge na NATO eti atakuwa hatarinNdio zimepakana kwa kutenganishwa na maji-maritime border
View attachment 2136344
Asante MwlIJUE NCHI KUBWA KULIKO ZOTE.
Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani?
Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu.
Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi kavu duniani.
Na imepakana na nchi 14 ambazo ni North Korea, China, Norway, Finland, Ukraine, Georgia, Mongolia, Latvia, Estonia, Azerbaijan, Belarus, Lithuania, Abkhazia na South Ossetia.
Urusi Pia inajumla ya wakazi 145,934,000 yaani Wanaume wakiwa 67,640,000 ambao sawa na 47% ya wakazi Wake na wanawake wakiwa 78,294,000 sawa na 53% ya wakazi wake wote.
Lakini pia Russia ni nchi ambayo imeingia (inapatikana) katika mabara mawili tofauti yaani Asia na Ulaya licha ya kuwa Russia rasmi hupatikana Bara la Asia
Pia maajabu yaliyopo ndani ya Russia ni kwamba kuna baadhi ya maeneo yanatofautiana hadi masaa 11. Yaani eneo moja la Russia linaweza kua saa 12 asubuhi wakati huo huo eneo jingine ni saa 10 jioni.
Hiyo ndo Russia na hayo ni machache kuhusu Urusi
Si kila Mada lazima ikulenge wewe hivyo kama unsona ya kijinga tuache wajinga tujifunze.Mada ya kijinga. Mtu yeyote aliyeishia darasa la saba akipewa atlas na kuulizwa maswali haya atayajibu yote!!!
Kipi kipya kuhusu nchi kubwa kuliko zote duniani na mipaka yake???
Hujawahi kuisikia hiyo?Hiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Kibete ni nn?Fact nyingine
Nilisikia urusi ni kubwa kuishinda sayari kibete ya pluto
Kibete ni nn?
Sio kamba mkuuHiyo issue ya saa kidogo kama unatupiga kamba
Nogesha hii ni tamu nenda deepRassia waliiiuza Alaska kwa usa ili imperror wakipindi hicho afanye harusi
Sio kambaHakika