Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Ni kweli ndan ya jiji la Tokyo Kuna majiji mwengine? Eti hata jiji la Yokohama liko ndani ya jiji la Tokyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi huwa wanadhani hivi lakini si sawasawa kusema hivi

Tokyo na Yokohama ni karibu sana ni Kama kutoka kariakoo to mbagala sidhani kama km 40 zinafika na ndio mji mzuri wa shopping kwa Japan na hapo katikati Kuna mji wa viwanda wa Kawasaki umezitengenisha ni Kama ilivo pwani ukitaka kutoka nje ya dar lazma uipite.

Jiji la Yokohama na Kawasaki wako kanagawa hivyo haiko ndani ya Tokyo
 
Napafahamu kaka hapo kuna demu wa kibrazil alifanya niwe nakuja hapo mara kwa mara na Kuna night club hapo za Club YOLO na Club Iwakumi nilikuwa nahudhuria sana na baada ya kustareheka club kuna hotel moja inaitwa Hotel Trend Iwakumi tulikuwa tunapenda kulala hapo.
Ahsante sana kaka, uko bongo kwa Sasa?
 
Umefafanua vyema sana lkn umetuangusha unapo taja viwango vyapesa vyahuko then hutuambii kwahukukwetu ni shingapi
 
Mkuu ngoja nikufollow kabisa niwe naona maandiko yako
 
Umefafanua vyema sana lkn umetuangusha unapo taja viwango vyapesa vyahuko then hutuambii kwahukukwetu ni shingapi
Angalia online mkuu mbona simple na pia wadau wameshaweka humu mengine hupaswi hata kumsumbua
 
Umefafanua vyema sana lkn umetuangusha unapo taja viwango vyapesa vyahuko then hutuambii kwahukukwetu ni shingapi
Ukigoogle ndugu unapata hizo exchange rate
 
Ha ha haa, vzr sana mkuu. Kumbe ulikuwa unafika Iwakuni! Hapo Iwakuni kuna 'small military base' ya wamarekani. Kwaiyo ni sehemu flani ambayo kuna interaction kubwa na foreigners hasa wamarekani. Mimi niko bongo kwa sasa, mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp experience ya rush hour, vyakula vya kijapani (mf. Sushi, sahimi, okonomiaki, natto n.k) na phobia yao kwa watu weusi?!

Pia ni vyema kuwajuza kuhusu maslai yanayotoka na kufanya kazi kwenye nchi tajiri kama Japan.

Hongera sana kwa kuacha damu yako, binti atakuwa alikutunuku nijuavyo ni aghalabu kwa binti wa kijapani kizaa nawatu weusi!!
 
Umerudi likizo ama mazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…