Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,203
- Thread starter
- #141
Wengi huwa wanadhani hivi lakini si sawasawa kusema hiviNi kweli ndan ya jiji la Tokyo Kuna majiji mwengine? Eti hata jiji la Yokohama liko ndani ya jiji la Tokyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokyo na Yokohama ni karibu sana ni Kama kutoka kariakoo to mbagala sidhani kama km 40 zinafika na ndio mji mzuri wa shopping kwa Japan na hapo katikati Kuna mji wa viwanda wa Kawasaki umezitengenisha ni Kama ilivo pwani ukitaka kutoka nje ya dar lazma uipite.
Jiji la Yokohama na Kawasaki wako kanagawa hivyo haiko ndani ya Tokyo