kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,954
- 7,530
Pinga uongo wake kwa ukweli... Mfano nimeona kuna aya kadhaa zimewekwa. Nini maoni yako kuhusu aya hizo?Mwambie alete chanzo cha hizo porojo zake
Pinga uongo wake kwa ukweli... Mfano nimeona kuna aya kadhaa zimewekwa. Nini maoni yako kuhusu aya hizo?Mwambie alete chanzo cha hizo porojo zake
Sasa historia ya MB imeandikwa kwenye Qur'an?,acha upumbavuPinga uongo wake kwa ukweli... Mfano nimeona kuna aya kadhaa zimewekwa. Nini maoni yako kuhusu aya hizo?
MB pengine walikuwa powered na aya mkuu... Swali; yaliondikwa kwenye aya yana ukweli?Sasa historia ya MB imeandikwa kwenye Qur'an?,acha upumbavu
Waweza dhihirisha uongo wake?Jf siku hizi imekua na uongo mwingi saana yaani mtu anaandika uongo mchana kweupe
Hao wapumbavu nashangaa Waislamu huwa hawawasemi wanalalamikia wazungu pekee.Hakika mkuu, nakubaliana na awewe 1000000%
Qatar ni nchi ambayo ni ya kinafiki sana, wamekuwa sababu ya maagamizi kwa wengine huku wao wakiishi kwa amani sana.
Muslim Brotherhood haikubaliki kwa nchi yeyote, hata wafadhiri wake ukiwataka waruhusu ianzishe chama na itafute wafuasi nchi hiyo inayowafadhiri wanakataa.Alikuwa anaitwa Mohammed Morsi, sio Mubarak...Tetesi ni kuwa Israel, Marekani na Deep State ya Egypt ndio zilimuondoa jamaa
Aliondoka kwa Arab Spring. Alifariki 2020 kwenye Lugalo ya nchini kwao, probably alibaki na kaheshima fulani ni kuwa raia walimchoka ila hakuwa mbovu kivile mbele ya idara za nchi.Hivi huyu mzee kwa sasa yuko wapi?
Nakumbuka ile mbiringe ya kumtoa huyu jamaa, ilibidi wa misri wakaweke kambi kwenye viwanja vya tahariri square jeshi lilipeleka hadi vifaru lakini wapi!
I wish watz tungekuwa hata na nusu ya ujasiri wa wamisri
Ndio hili hiliHili kundi nadhani lilimponza Hosni mubarak akatolewa kwenye kiti cha enzi kama sikosei.
Kungekuwa na demokrasia Uarabuni, mbona hiyo Muslim Brotherhood ingetawala nchi nyingi sana...Uchaguzi wa kweli wa kidemokrasia Misri walishinda hao BrotherhoodMuslim Brotherhood haikubaliki kwa nchi yeyote, hata wafadhiri wake ukiwataka waruhusu ianzishe chama na itafute wafuasi nchi hiyo inayowafadhiri wanakataa.
Demokrasia na Muslim Brotherhood wapi na wapi?Kungekuwa na demokrasia Uarabuni, mbona hiyo Muslim Brotherhood ingetawala nchi nyingi sana...Uchaguzi wa kweli wa kidemokrasia Misri walishinda hao Brotherhood
palestine, jordan, egypt wapo waarabu wakristo, na walikuwa wengi ila si unajua walipungua kwa sababu kama kuhama, na amambo kama ya hao ma bro 😀Ukisoma between the lines umemaanisha kitu chengine kabisa, Chuki yako dhidi ya Uslamu haitakufikisha popote, Wamepita watu wazito wenye kila aina ya uwezo walitaka kuufuta Uislamu lkn wameshindwa, ndo kwanza Usilanu unaenea bara ulaya na ukristo haupo kabisa bara Arab
Kwa hivyo kumbe ukristo unaenda sambamba na pombe,makasino na mashoga?Ukristo haupo Uarabuni ,sababu hakuna uhuru wa dini ,hawataki kuruhusu hata biblia ziuzwe ,kwanini ?
Ndio dini ya haki hiyo
Saudia Arabia hawaruhusu kujenga makanisa , WANAOGOPA nini
Kama ni dini ya haki na inajiamini WANAOGOPA nini ?
Pombe,makasino, starehe za ajabu,na 2030 au 34 ,kombe la Dunia linapelekwa Saudia Arabia,mashoga wataruhusiwa kuingia
NInqchoamini ,soon Mwanya wakupeleka injili utaoatikana na sisi tutapeleka injili ,waarabu wamjue kristo Yesu
CHANZO CHA CHUKI NA UGAIDI NI QURAN.
Quran zinazo aya zinazochochea mauaji na chuki dhidi ya watu wengine wasioamini Uislam. Mfano wa aya hizo ni kama ifuatavyo:
Surah 3:151: "Tutatia khofu katika nyoyo za walio kufuru (wasiokuwa Waislamu)
Sura 2:191: "Na wauweni (wasiokuwa Waislamu) popote muwakutapo ... wauweni. Hayo ndiyo malipo ya makafiri (wasiokuwa Waislamu)."
Sura 9:5: “Basi waueni makafiri popote muwakutapo, washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila pazia…
UTAWASIKIA DINI YA HAKI, DINI YA AMANI
Kama mnaruhusu makasino ,pombe na Bangi,Kwa hivyo kumbe ukristo unaenda sambamba na pombe,makasino na mashoga?
Kwahyo biblia ndio inaletwa na ushoga na pombe,, we dogo punguani sanaa.Ukristo haupo Uarabuni ,sababu hakuna uhuru wa dini ,hawataki kuruhusu hata biblia ziuzwe ,kwanini ?
Ndio dini ya haki hiyo
Saudia Arabia hawaruhusu kujenga makanisa , WANAOGOPA nini
Kama ni dini ya haki na inajiamini WANAOGOPA nini ?
Pombe,makasino, starehe za ajabu,na 2030 au 34 ,kombe la Dunia linapelekwa Saudia Arabia,mashoga wataruhusiwa kuingia
NInqchoamini ,soon Mwanya wakupeleka injili utaoatikana na sisi tutapeleka injili ,waarabu wamjue kristo Yesu
CHANZO CHA CHUKI NA UGAIDI NI QURAN.
Quran zinazo aya zinazochochea mauaji na chuki dhidi ya watu wengine wasioamini Uislam. Mfano wa aya hizo ni kama ifuatavyo:
Surah 3:151: "Tutatia khofu katika nyoyo za walio kufuru (wasiokuwa Waislamu)
Sura 2:191: "Na wauweni (wasiokuwa Waislamu) popote muwakutapo ... wauweni. Hayo ndiyo malipo ya makafiri (wasiokuwa Waislamu)."
Sura 9:5: “Basi waueni makafiri popote muwakutapo, washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila pazia…
UTAWASIKIA DINI YA HAKI, DINI YA AMANI
2:191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.Ukristo haupo Uarabuni ,sababu hakuna uhuru wa dini ,hawataki kuruhusu hata biblia ziuzwe ,kwanini ?
Ndio dini ya haki hiyo
Saudia Arabia hawaruhusu kujenga makanisa , WANAOGOPA nini
Kama ni dini ya haki na inajiamini WANAOGOPA nini ?
Pombe,makasino, starehe za ajabu,na 2030 au 34 ,kombe la Dunia linapelekwa Saudia Arabia,mashoga wataruhusiwa kuingia
NInqchoamini ,soon Mwanya wakupeleka injili utaoatikana na sisi tutapeleka injili ,waarabu wamjue kristo Yesu
CHANZO CHA CHUKI NA UGAIDI NI QURAN.
Quran zinazo aya zinazochochea mauaji na chuki dhidi ya watu wengine wasioamini Uislam. Mfano wa aya hizo ni kama ifuatavyo:
Surah 3:151: "Tutatia khofu katika nyoyo za walio kufuru (wasiokuwa Waislamu)
Sura 2:191: "Na wauweni (wasiokuwa Waislamu) popote muwakutapo ... wauweni. Hayo ndiyo malipo ya makafiri (wasiokuwa Waislamu)."
Sura 9:5: “Basi waueni makafiri popote muwakutapo, washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila pazia…
UTAWASIKIA DINI YA HAKI, DINI YA AMANI
Kichwa chako kimebeba maviKwahyo biblia ndio inaletwa na ushoga na pombe,, we dogo punguani sanaa.