Ifahamu organization ya "Muslim Brotherhood" inayopigwa marufuku maeneo mbalimbali duniani ikiwemo baadhi ya nchi za Kiarabu

Ifahamu organization ya "Muslim Brotherhood" inayopigwa marufuku maeneo mbalimbali duniani ikiwemo baadhi ya nchi za Kiarabu

Nimemuoa dada yako, wewe ndiye unayelala sebuleni kumbe
Itikadi kali ni watu wa makasiriko sanaaa
d3cb392e63cdbd7ded509130744a705b.jpg
 
Kama mnaruhusu makasino ,pombe na Bangi,

Why not wasiruhusu na dini nyingine ?

Umeelewa mantik
Mantiki nimeielewa ni kuwa ukristo na maovu kama pombe,casino,ushoga na mengineyo ni chanda na pete
 
Mantiki nimeielewa ni kuwa ukristo na maovu kama pombe,casino,ushoga na mengineyo ni chanda na pete
ila hujaelewa kama mnaruhusu pombe ,makasino ,n.k

Why mnapinga makanisa ,na kuwaua wakristo?

Kama uislamu dini ya haki inaogopa nini
 
2:191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

3:151. Tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa vile walivyo mshirikisha Mwenyezi Mungu na washirika ambao hakuwateremshia hoja yoyote. Na makaazi yao ni Motoni; na maovu yaliyoje maskani ya wenye kudhulumu!

9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Hii dini ni ya ugaidi
 
ila hujaelewa kama mnaruhusu pombe ,makasino ,n.k

Why mnapinga makanisa ,na kuwaua wakristo?

Kama uislamu dini ya haki inaogopa nini
Pombe na casino katika uislam ni haram wala haviruhusiwi
Kupinga makanisa na kuwauwa wakristo ni kwa sababu ukristo na wakristo ni sehemu ya maovu
Uislam haugopi bali unapinga na hiyo ndio kigezo cha dini ya haki
Kwa maana haki na batili havikai sehemu moja
 
"I will cast terror into the hearts of those who disbelieve So strike above the necks and strike off every fingertip of theirs".
Quran 8:12
Dini ya UGAIDI hii
 
Ndio ukafiri wako unavyokutuma
Na ndio maana uislam ukaagiza ufanyiwe ugaidi
Allah ni mungu wa kiarabu,kila Mila na kabila lilikuwa na mungu wao


Allah ni mungu wa wakureshi ndio maana ana lugha moja ya kiarabu
 
Allah ni mungu wa kiarabu,kila Mila na kabila lilikuwa na mungu wao


Allah ni mungu wa wakureshi ndio maana ana lugha moja ya kiarabu
Juha kweli wewe
Wapi Allah ana lugha moja?
 
Ukisoma between the lines umemaanisha kitu chengine kabisa, Chuki yako dhidi ya Uslamu haitakufikisha popote, Wamepita watu wazito wenye kila aina ya uwezo walitaka kuufuta Uislamu lkn wameshindwa, ndo kwanza Usilanu unaenea bara ulaya na ukristo haupo kabisa bara Arab
Hili nalo linapita kabisa
 
Back
Top Bottom