Ni kama tu mbinu za kivita,,,,,,.ni kma tu wamewapatia pa wakuwapunguziaUnaitwa kwenye written interview na taasisi fulani kwenye post mbili tofauti kwa siku moja ya kufanya interview matokeo yake unafanya interview moja badala ya mbili. Hii imekaaje
Wala usihangaike na bando, muhimu simu iwe na chaji na muda wote uwe karibu nayo. In case ukikuta missed call ya namba ngeni usiache kupiga kwani mbali na pdf, huwa wanapiga simu na kutuma sms piaPlacement zinatutesa sana kila siku kununua bando hata sio vizuri aseeh
Naomba upitie kwenye website www.ajira.go.tz maana placement nyingi zimefanyika na tunaendelea kutoa majina kwa taasisi mbalimbaliSekretarieti ya Ajira hongereni kwa kazi nzuri na pia kutupa miongozo
Naomba kuuliza zile interview zilizofanyika mwezi wa tisa majibu yake yatatoka lini?maana kusubiri bila kupewa majibu huku mtaani tunateseka sana ni heri tukapewa majibu tujue kama tumepata au hatujapata
Hakika mnaupiga mwingi sana, hakuna viashiria vya rushwa, ni jitihada tu za msailiwa mwenye. Mungu awsbariki saana, haki inatendekaNaomba upitie kwenye website www.ajira.go.tz maana placement nyingi zimefanyika na tunaendelea kutoa majina kwa taasisi mbalimbali
Sisi tuliofanya NAOT si tusubiri hadi February Mwakani?Naomba upitie kwenye website www.ajira.go.tz maana placement nyingi zimefanyika na tunaendelea kutoa majina kwa taasisi mbalimbali
45+ days ndio starting point.Sisi tuliofanya NAOT si tusubiri hadi February Mwakani?
ngoja tuone kama wata commentNaomba kuuliza,
- Wanaofanikiwa kufika oral majina yao mnahifadhi katika kanzidata kwa muda gani? Uko muda maalum ukipita yanaondolewa au mnatumia utaratibu upi?
- Wanaofanya interview tatu, written, practical na oral Candidate anafaulu vizuri zote written hadi oral lakini inawezekana hapati kazi mnatumia kigezo au kipimo kipi kumpima huyu amefaulu practical vizuri sana lakini oral ameanguka yani hakufika alama zinazotakiwa?
Ameshindwa kujieleza hivyo hatoweza kuwa competent katika kazi?
- Competence ya candidate mnapima katika utaratibu upi? Mfano Computer programmer anaweza kuwa vizuri na anafanya vizuri written na practical, akifika oral anakosa kazi sasa ina maana huyu mumetumia vigezo gani kumpima? Ameshindwa kujieleza kitu ambacho anajua ku implement?(wengi wanakua wazito kuongea lakini wanautaalam katika kutenda)
- Kwanini alama/marks za oral hamtoi hawa candidate wajue na kuzifanyia tathmini ili kuwe na haki na uwazi?
- Uko muda maalumu mnaotumia kuwaita kazini walofaulu interview na kuwapangia kazi? maana malalamimo ni mengi kuwa mnatumia mda mrefu sana kuwaita kazini.
Ushauri
1. Ili kupata wataalam fani za Computer Science/IT na zinazohusiana na hizo, muwape kipaumbele wale wanaofanya vizuri katika practical mana aliyefanya vizuri practical ana nafasi kubwa ya kuwa competent katika kazi taifa linakosa wataalam hawa wanaachwa Tz wanaenda kutumika mataifa mengine.
2. Computer programming ni eneo kubwa sana kuna web based application, mobile application, desktop application development na system application development kama Operating System, Drivers, na software nyingine.
Mnapotangaza kazi mnatakiwa muwe specific kama ni web, mobile, system application programming etc na muandike anapaswa kuwa na ujuzi wa kutumia teknolojia na language gani, mfano Web based application anatumia php, java au python na stack zake kama MEARN, MEAN ma tools anazotumia.
Mobile na System application ni hivyo hivyo.
3. Interview structure mnayotumia kwa computer programming kwa sasa ni vigumu sana kupata competent candidate sababu written na practical mnatunga mtihani language zinakua nyingi sana.
Nimefatilia mnatumia language kuanzia 4 hadi 6 kwa written na practical pia.
Huyo candidate atakayepata kazi hapa kuna uwezekano mkubwa hatokua na utaalam sababu atakua yuko partial anajua language hii kidogo na ile kidogo lakini amekariri tu.
Standard inatakiwa ujuzi uwe katika language 2 hadi 3 tu. Utaratibu huu unatumika duniani kote hata ulaya ambako teknolojia wanaijua vizuri.
Nimetoa mfano hapo juu web based app developer hapaswi kuulizwa maswali ya mobile apps dev au ya system application. Ukimuuliza web developer mambo ya C++ au assembly atajua hutendi haki na atakulaani sana.
Programmer anayetumia C/C++ katika kazi hapaswi kuulizwa habari ya php na html au JavaScript, hata ukimuuliza atajua humtendei haki hii hata kule San Francisco haipo, haipo kokote duniani.
Daktari Specialist wa meno mnaweza kumpima kama specialist wa mifupa na moyo au ngozi? Kila mmoja ni specialist kwenye angle yake na apimwe huko.
Wanakuja kufanya hizo interview wengi hawana namna ndio mana wakuja.
Wanaofaulu wengi wanabahatisha sababu recruitment process ina changamoto na vikwazo vingi kama nilivyoeleza hapo juu.
Ukimleta Brian Kernighan aje kufanya interview computer programming mnayoandaa nyie atafeli vibaya sana.
Wataalam wanapaswa kutumika katika maendeleo ya taifa wakiachwa na kupuuzwa wanaenda ughaibuni kujenga mataifa ya watu wengine huko.
Sekretarieti ya Ajira
Hello, nahtaji kufuta account yangu ya ajira portal. Napiga simu hampokei je nifanyeje?.Naomba upitie kwenye website www.ajira.go.tz maana placement nyingi zimefanyika na tunaendelea kutoa majina kwa taasisi mbalimbali
Endelea kupiga simu hadi uwapate na uwaeleze shida yakoHello, nahtaji kufuta account yangu ya ajira portal. Napiga simu hampokei je nifanyeje?.
tuma email yaka tuangalie kuna shida ganiHello, nahtaji kufuta account yangu ya ajira portal. Napiga simu hampokei je nifanyeje?.
tuma email yaka hapa tuangalie kuna shida gani
Mkuu ni lini mtatoa majina ya wasahiliwa wa nafasi za Tutors wa veta ambao application ilifanyika mwezi june,2022?tuma email yaka hapa tuangalie kuna shida gani
Tuma email ila tunajitahidi sana kupokea simu sema wateja ni wengi hasa kipindi hiki cha Usaili. Jitahidi kutatua changamoto mapema usisubiri matukio.Kama mtu ana shida na akipiga simu hapokelewi afanyaje
Hongereni sana kwa kazi mnayoifanya, mara nyingi tunawalaumu humu ila kiukweli mna mzigo mzito.Tuma email ila tunajitahidi sana kupokea simu sema wateja ni wengi hasa kipindi hiki cha Usaili. Jitahidi kutatua changamoto mapema usisubiri matukio.
Napenda kukujulisha kuwa majina ya waliofaulu Usaili huwa yanakaa kwenye kanzidata kwa muda wa mwaka mmoja. Pia ningependa kukutoa hofu, wataalamu wanaopatikana wanakidhi vigezo na ndio maana zoezi hili ni shirikishi. Usaili wowote unaofanyika unahusisha Muajiri, wanataaluma wa kada husika na Watumishi kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ili kuhakikisha anayepatikana ni mtu sahihi.Habari! Asante sana kwa mchango wako mzuri unaojenga.Naomba kuuliza,
- Wanaofanikiwa kufika oral majina yao mnahifadhi katika kanzidata kwa muda gani? Uko muda maalum ukipita yanaondolewa au mnatumia utaratibu upi?
- Wanaofanya interview tatu, written, practical na oral Candidate anafaulu vizuri zote written hadi oral lakini inawezekana hapati kazi mnatumia kigezo au kipimo kipi kumpima huyu amefaulu practical vizuri sana lakini oral ameanguka yani hakufika alama zinazotakiwa?
Ameshindwa kujieleza hivyo hatoweza kuwa competent katika kazi?
- Competence ya candidate mnapima katika utaratibu upi? Mfano Computer programmer anaweza kuwa vizuri na anafanya vizuri written na practical, akifika oral anakosa kazi sasa ina maana huyu mumetumia vigezo gani kumpima? Ameshindwa kujieleza kitu ambacho anajua ku implement?(wengi wanakua wazito kuongea lakini wanautaalam katika kutenda)
- Kwanini alama/marks za oral hamtoi hawa candidate wajue na kuzifanyia tathmini ili kuwe na haki na uwazi?
- Uko muda maalumu mnaotumia kuwaita kazini walofaulu interview na kuwapangia kazi? maana malalamimo ni mengi kuwa mnatumia mda mrefu sana kuwaita kazini.
Ushauri
1. Ili kupata wataalam fani za Computer Science/IT na zinazohusiana na hizo, muwape kipaumbele wale wanaofanya vizuri katika practical mana aliyefanya vizuri practical ana nafasi kubwa ya kuwa competent katika kazi taifa linakosa wataalam hawa wanaachwa Tz wanaenda kutumika mataifa mengine.
2. Computer programming ni eneo kubwa sana kuna web based application, mobile application, desktop application development na system application development kama Operating System, Drivers, na software nyingine.
Mnapotangaza kazi mnatakiwa muwe specific kama ni web, mobile, system application programming etc na muandike anapaswa kuwa na ujuzi wa kutumia teknolojia na language gani, mfano Web based application anatumia php, java au python na stack zake kama MEARN, MEAN ma tools anazotumia.
Mobile na System application ni hivyo hivyo.
3. Interview structure mnayotumia kwa computer programming kwa sasa ni vigumu sana kupata competent candidate sababu written na practical mnatunga mtihani language zinakua nyingi sana.
Nimefatilia mnatumia language kuanzia 4 hadi 6 kwa written na practical pia.
Huyo candidate atakayepata kazi hapa kuna uwezekano mkubwa hatokua na utaalam sababu atakua yuko partial anajua language hii kidogo na ile kidogo lakini amekariri tu.
Standard inatakiwa ujuzi uwe katika language 2 hadi 3 tu. Utaratibu huu unatumika duniani kote hata ulaya ambako teknolojia wanaijua vizuri.
Nimetoa mfano hapo juu web based app developer hapaswi kuulizwa maswali ya mobile apps dev au ya system application. Ukimuuliza web developer mambo ya C++ au assembly atajua hutendi haki na atakulaani sana.
Programmer anayetumia C/C++ katika kazi hapaswi kuulizwa habari ya php na html au JavaScript, hata ukimuuliza atajua humtendei haki hii hata kule San Francisco haipo, haipo kokote duniani.
Daktari Specialist wa meno mnaweza kumpima kama specialist wa mifupa na moyo au ngozi? Kila mmoja ni specialist kwenye angle yake na apimwe huko.
Wanakuja kufanya hizo interview wengi hawana namna ndio mana wakuja.
Wanaofaulu wengi wanabahatisha sababu recruitment process ina changamoto na vikwazo vingi kama nilivyoeleza hapo juu.
Ukimleta Brian Kernighan aje kufanya interview computer programming mnayoandaa nyie atafeli vibaya sana.
Wataalam wanapaswa kutumika katika maendeleo ya taifa wakiachwa na kupuuzwa wanaenda ughaibuni kujenga mataifa ya watu wengine huko.
Sekretarieti ya Ajira
ngoja tuone kama wata comme
Sasa hv naona wako na majukumu mengi hasa haya ya Usaili na kupanga vituo vya kazi.. So actually naona inazidi hyo wiki 3.. Ila kikubwa ni kusubiria tu maana placements kwa kada Husika lazima watoe hata kama Kuna time interval kubwaBaada ya kufanya oral mara nying placement inakuaga baada ya wiki tatu
Naomba kuuliza baada ya Mtu kufanya oral kweny application status yake ina badilika kutoka SELECTED FOR ORAL kwenda neno moja tu SHORTLISTED zen litaenda matokeo yakikaribia inabadilkka nakuwa SELECTED FOR ORAL ...Inakuwaga na Maana gaani hii SHORTLISTEDNapenda kukujulisha kuwa majina ya waliofaulu Usaili huwa yanakaa kwenye kanzidata kwa muda wa mwaka mmoja. Pia ningependa kukutoa hofu, wataalamu wanaopatikana wanakidhi vigezo na ndio maana zoezi hili ni shirikishi. Usaili wowote unaofanyika unahusisha Muajiri, wanataaluma wa kada husika na Watumishi kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ili kuhakikisha anayepatikana ni mtu sahihi.
πππ Watu wafukunyuzi.. Sisi hebu tuendelee kusubiri mikeka ya placements hayo mambo ya Status ni kujiwekea pressure tuNaomba kuuliza baada ya Mtu kufanya oral kweny application status yake ina badilika kutoka SELECTED FOR ORAL kwenda neno moja tu SHORTLISTED zen litaenda matokeo yakikaribia inabadilkka nakuwa SELECTED FOR ORAL ...Inakuwaga na Maana gaani hii SHORTLISTED
tunaomba kufahamishwa @sektarieti ya ajira