Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Sekretarieti ya Ajira hongereni kwa kazi nzuri na pia kutupa miongozo
Naomba kuuliza zile interview zilizofanyika mwezi wa tisa majibu yake yatatoka lini?maana kusubiri bila kupewa majibu huku mtaani tunateseka sana ni heri tukapewa majibu tujue kama tumepata au hatujapata
Naomba upitie kwenye website www.ajira.go.tz maana placement nyingi zimefanyika na tunaendelea kutoa majina kwa taasisi mbalimbali
 
Hivi wakuu ukifanya written na matakeo yakatika, kwenye account ya portal, ikalete "SHORTLISTED'' NA HAKUNA MAENENEO MENGNE JE unakua umechaguliwa Kwa hatua inayofata
 
Naomba kuuliza,

- Wanaofanikiwa kufika oral majina yao mnahifadhi katika kanzidata kwa muda gani? Uko muda maalum ukipita yanaondolewa au mnatumia utaratibu upi?

- Wanaofanya interview tatu, written, practical na oral Candidate anafaulu vizuri zote written hadi oral lakini inawezekana hapati kazi mnatumia kigezo au kipimo kipi kumpima huyu amefaulu practical vizuri sana lakini oral ameanguka yani hakufika alama zinazotakiwa?
Ameshindwa kujieleza hivyo hatoweza kuwa competent katika kazi?

- Competence ya candidate mnapima katika utaratibu upi? Mfano Computer programmer anaweza kuwa vizuri na anafanya vizuri written na practical, akifika oral anakosa kazi sasa ina maana huyu mumetumia vigezo gani kumpima? Ameshindwa kujieleza kitu ambacho anajua ku implement?(wengi wanakua wazito kuongea lakini wanautaalam katika kutenda)

- Kwanini alama/marks za oral hamtoi hawa candidate wajue na kuzifanyia tathmini ili kuwe na haki na uwazi?

- Uko muda maalumu mnaotumia kuwaita kazini walofaulu interview na kuwapangia kazi? maana malalamimo ni mengi kuwa mnatumia mda mrefu sana kuwaita kazini.

Ushauri
1. Ili kupata wataalam fani za Computer Science/IT na zinazohusiana na hizo, muwape kipaumbele wale wanaofanya vizuri katika practical mana aliyefanya vizuri practical ana nafasi kubwa ya kuwa competent katika kazi taifa linakosa wataalam hawa wanaachwa Tz wanaenda kutumika mataifa mengine.

2. Computer programming ni eneo kubwa sana kuna web based application, mobile application, desktop application development na system application development kama Operating System, Drivers, na software nyingine.
Mnapotangaza kazi mnatakiwa muwe specific kama ni web, mobile, system application programming etc na muandike anapaswa kuwa na ujuzi wa kutumia teknolojia na language gani, mfano Web based application anatumia php, java au python na stack zake kama MEARN, MEAN ma tools anazotumia.
Mobile na System application ni hivyo hivyo.

3. Interview structure mnayotumia kwa computer programming kwa sasa ni vigumu sana kupata competent candidate sababu written na practical mnatunga mtihani language zinakua nyingi sana.

Nimefatilia mnatumia language kuanzia 4 hadi 6 kwa written na practical pia.
Huyo candidate atakayepata kazi hapa kuna uwezekano mkubwa hatokua na utaalam sababu atakua yuko partial anajua language hii kidogo na ile kidogo lakini amekariri tu.
Standard inatakiwa ujuzi uwe katika language 2 hadi 3 tu. Utaratibu huu unatumika duniani kote hata ulaya ambako teknolojia wanaijua vizuri.

Nimetoa mfano hapo juu web based app developer hapaswi kuulizwa maswali ya mobile apps dev au ya system application. Ukimuuliza web developer mambo ya C++ au assembly atajua hutendi haki na atakulaani sana.

Programmer anayetumia C/C++ katika kazi hapaswi kuulizwa habari ya php na html au JavaScript, hata ukimuuliza atajua humtendei haki hii hata kule San Francisco haipo, haipo kokote duniani.
Daktari Specialist wa meno mnaweza kumpima kama specialist wa mifupa na moyo au ngozi? Kila mmoja ni specialist kwenye angle yake na apimwe huko.

Wanakuja kufanya hizo interview wengi hawana namna ndio mana wakuja.
Wanaofaulu wengi wanabahatisha sababu recruitment process ina changamoto na vikwazo vingi kama nilivyoeleza hapo juu.
Ukimleta Brian Kernighan aje kufanya interview computer programming mnayoandaa nyie atafeli vibaya sana.

Wataalam wanapaswa kutumika katika maendeleo ya taifa wakiachwa na kupuuzwa wanaenda ughaibuni kujenga mataifa ya watu wengine huko.

Sekretarieti ya Ajira
 
ngoja tuone kama wata comment
 
Tuma email ila tunajitahidi sana kupokea simu sema wateja ni wengi hasa kipindi hiki cha Usaili. Jitahidi kutatua changamoto mapema usisubiri matukio.
Hongereni sana kwa kazi mnayoifanya, mara nyingi tunawalaumu humu ila kiukweli mna mzigo mzito.

Mkihitaji nguvu kazi, msisite kutuambia, majobless tupo tumejaa tele mtaani[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naomba kuuliza,

- Wanaofanikiwa kufika oral majina yao mnahifadhi katika kanzidata kwa muda gani? Uko muda maalum ukipita yanaondolewa au mnatumia utaratibu upi?

- Wanaofanya interview tatu, written, practical na oral Candidate anafaulu vizuri zote written hadi oral lakini inawezekana hapati kazi mnatumia kigezo au kipimo kipi kumpima huyu amefaulu practical vizuri sana lakini oral ameanguka yani hakufika alama zinazotakiwa?
Ameshindwa kujieleza hivyo hatoweza kuwa competent katika kazi?

- Competence ya candidate mnapima katika utaratibu upi? Mfano Computer programmer anaweza kuwa vizuri na anafanya vizuri written na practical, akifika oral anakosa kazi sasa ina maana huyu mumetumia vigezo gani kumpima? Ameshindwa kujieleza kitu ambacho anajua ku implement?(wengi wanakua wazito kuongea lakini wanautaalam katika kutenda)

- Kwanini alama/marks za oral hamtoi hawa candidate wajue na kuzifanyia tathmini ili kuwe na haki na uwazi?

- Uko muda maalumu mnaotumia kuwaita kazini walofaulu interview na kuwapangia kazi? maana malalamimo ni mengi kuwa mnatumia mda mrefu sana kuwaita kazini.

Ushauri
1. Ili kupata wataalam fani za Computer Science/IT na zinazohusiana na hizo, muwape kipaumbele wale wanaofanya vizuri katika practical mana aliyefanya vizuri practical ana nafasi kubwa ya kuwa competent katika kazi taifa linakosa wataalam hawa wanaachwa Tz wanaenda kutumika mataifa mengine.

2. Computer programming ni eneo kubwa sana kuna web based application, mobile application, desktop application development na system application development kama Operating System, Drivers, na software nyingine.
Mnapotangaza kazi mnatakiwa muwe specific kama ni web, mobile, system application programming etc na muandike anapaswa kuwa na ujuzi wa kutumia teknolojia na language gani, mfano Web based application anatumia php, java au python na stack zake kama MEARN, MEAN ma tools anazotumia.
Mobile na System application ni hivyo hivyo.

3. Interview structure mnayotumia kwa computer programming kwa sasa ni vigumu sana kupata competent candidate sababu written na practical mnatunga mtihani language zinakua nyingi sana.

Nimefatilia mnatumia language kuanzia 4 hadi 6 kwa written na practical pia.
Huyo candidate atakayepata kazi hapa kuna uwezekano mkubwa hatokua na utaalam sababu atakua yuko partial anajua language hii kidogo na ile kidogo lakini amekariri tu.
Standard inatakiwa ujuzi uwe katika language 2 hadi 3 tu. Utaratibu huu unatumika duniani kote hata ulaya ambako teknolojia wanaijua vizuri.

Nimetoa mfano hapo juu web based app developer hapaswi kuulizwa maswali ya mobile apps dev au ya system application. Ukimuuliza web developer mambo ya C++ au assembly atajua hutendi haki na atakulaani sana.

Programmer anayetumia C/C++ katika kazi hapaswi kuulizwa habari ya php na html au JavaScript, hata ukimuuliza atajua humtendei haki hii hata kule San Francisco haipo, haipo kokote duniani.
Daktari Specialist wa meno mnaweza kumpima kama specialist wa mifupa na moyo au ngozi? Kila mmoja ni specialist kwenye angle yake na apimwe huko.

Wanakuja kufanya hizo interview wengi hawana namna ndio mana wakuja.
Wanaofaulu wengi wanabahatisha sababu recruitment process ina changamoto na vikwazo vingi kama nilivyoeleza hapo juu.
Ukimleta Brian Kernighan aje kufanya interview computer programming mnayoandaa nyie atafeli vibaya sana.

Wataalam wanapaswa kutumika katika maendeleo ya taifa wakiachwa na kupuuzwa wanaenda ughaibuni kujenga mataifa ya watu wengine huko.

Sekretarieti ya Ajira
Habari! Asante sana kwa mchango wako mzuri unaojenga.
Napenda kukujulisha kuwa majina ya waliofaulu Usaili huwa yanakaa kwenye kanzidata kwa muda wa mwaka mmoja. Pia ningependa kukutoa hofu, wataalamu wanaopatikana wanakidhi vigezo na ndio maana zoezi hili ni shirikishi. Usaili wowote unaofanyika unahusisha Muajiri, wanataaluma wa kada husika na Watumishi kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ili kuhakikisha anayepatikana ni mtu sahihi.
ngoja tuone kama wata comme
 
Baada ya kufanya oral mara nying placement inakuaga baada ya wiki tatu
Sasa hv naona wako na majukumu mengi hasa haya ya Usaili na kupanga vituo vya kazi.. So actually naona inazidi hyo wiki 3.. Ila kikubwa ni kusubiria tu maana placements kwa kada Husika lazima watoe hata kama Kuna time interval kubwa
 
Napenda kukujulisha kuwa majina ya waliofaulu Usaili huwa yanakaa kwenye kanzidata kwa muda wa mwaka mmoja. Pia ningependa kukutoa hofu, wataalamu wanaopatikana wanakidhi vigezo na ndio maana zoezi hili ni shirikishi. Usaili wowote unaofanyika unahusisha Muajiri, wanataaluma wa kada husika na Watumishi kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ili kuhakikisha anayepatikana ni mtu sahihi.
Naomba kuuliza baada ya Mtu kufanya oral kweny application status yake ina badilika kutoka SELECTED FOR ORAL kwenda neno moja tu SHORTLISTED zen litaenda matokeo yakikaribia inabadilkka nakuwa SELECTED FOR ORAL ...Inakuwaga na Maana gaani hii SHORTLISTED
tunaomba kufahamishwa @sektarieti ya ajira
 
😂😂😂 Watu wafukunyuzi.. Sisi hebu tuendelee kusubiri mikeka ya placements hayo mambo ya Status ni kujiwekea pressure tu
 
Back
Top Bottom