Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?Nime jibu Mzee ni kuwa Mungu ana ufahamu wa uhakika kwa kila jambo, a perfect and infinity knowledge iliyokuwepo na ambayo iko. Hata jina la Mungu ni Mimi Niko ambaye Niko.
Haha we jamaa acha uongo sifongo ni (sponge) na siki ni (vinegar) soma Biblia japo kwa English utaelewa vingi kama unajua Kiswahili cha Bible si rahisi ni kigumu . Umenishangaza sana bora ungeuliza kuliko maelezo yote mara nyoka hahaha. Vijiwe hivyo ningekuwawewe ningeshafuta huu uzi haha ni aibu😃😃😃💂💂💂😁😁😁Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....
Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana
Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana
Muwe na mchana Mwema
kwa hiyo uwezo wote alio kuwa nao yesu na miujiza pia ..alishindwa kujua au kupata maono kuwa alichopewa ni sumu ivyo asinywe!!!ye akanywA.....pia kumbe basi yesu alikufa kwa sumu si ndio
Siamini usemacho mpaka uweke attachment kusapoti ili nijenge hoja ya kukupingaSalama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....
Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana
Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana
Muwe na mchana Mwema
Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?
Nilikuwa nimekwepa kumueleza hili nikisubiri aweke supporting evidence ya anachosema..We jamaa acha uongo sifongo ni sponge na siki ni vinegar mwisho
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.Mungu yaani Bwana Yesu alimtahadharisha msaliti Yuda. Na ndivyo anavyofanya kwetu siku zote kupitia nafsi zetu kutusuta lakini huwa tuna shupaza shingo.
Wewe ni Mungu yupi huyo unaye muongelea hapa? Maana ibilisi naye ni mungu kwa jinsi yake, yuko na wafuasi na dini na madhehebu yake.
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.
Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu wako huyo unayemsema, akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?
Unakubali hilo au unakataa?
Jibu ndiyo nakubali au hapana sikubali.
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.Usinipangie jinsi ya kujibu. Nimejibu kwa kusema anakutahadharisha na kukuachia uamue maana kakupa ujuzi wa mema na mabaya. Wewe si hayawani.
Nimeuliza hivyo nimegundua hujui maana ya neno islam.Sasa wewe mwenye dini yako ndiye unaniuliza mimi?
Unaijua dini yako mwenyewe?
Islam maana yake nini wewe unayejua?Nimeuliza hivyo nimegundua hujui maana ya neno islam.
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.
Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu wako huyo unayemsema, akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?
Unakubali hilo au unakataa?
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.Nimekujibu kwa namna nyingi, unabii, kakupa utashi, atakutahadharisha nk. Kuepuka kuko mikononi mwako/katika maamuzi yako kama utautaka msaada wake na kumtumaini yeye pekee yake. Ila kwa kumtumainia shetani na akili zako hutaepuka.
Hili limefundishwa tangu pale Eden. Eva/Hawa akatumainia ushauri wa shetani, Adam akatumaini ushauri wa mkewe. Wakashindwa kumtii Mungu wakatenda dhambi ya ukaidi wakaambulia adhabu ikiwemo kifo.
Nimejibu swali lako na mimi naomva ni kuulize hili swali hapa, je?Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.
Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu wako huyo unayemsema, akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?
Unakubali hilo au unakataa?
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.Nimejibu swali lako na mimi naomva ni kuulize hili swali hapa, je?
Maana ya muweza wa yote kwa mapenzi yake ni nini?
Hujajibu swali langu. Unarukaruka tu.
Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu wako huyo unayemsema, akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?
Unakubali hilo au unakataa?
Muweza wa yote ni hoja ya kufikirika ambayo kiuhalisia haipo.
Kwa sababu kuweza yote maana yake ni kuweza kufanya mambo yanayojicontradict, kama Mungu kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba.
Mungu anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba?
Akiweza kuumba jiwe hilo, kutakuwa na kitu hawezi kufanya, kwa sababu atakuwa hawezi kubeba jiwe hilo.
Akiwa hawezi kuumba jiwe hilo, kutakuwa na kitu hawezi, atakuwa hawezi kuumba jiwe hilo.
Vyovyote vile hapo, Mungu hawezi yote.
N aukiruhusu contradiction, maana yake umeruhusu unaposema Mungu yupo, umaanishe Mungu hayupo!
Hapa ndio umejikanya haswa. Nikuache undelee unavyo uno wewe ila zingatia hili "muweza wa yote kwa mapenzi yake" Hakuna wa kumpangia, kwenye maandiko hana Mwanzo,hana asili wala hana mwisho ni wa umilele yote. Case closed.
Swali hili nlishagawahi kujiuliza sanaa but ..nikapata majibu take.Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?
Hujalijibu.Swali hili nlishagawahi kujiuliza sanaa but ..nikapata majibu take.