Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Dua ama maombi kwa fate builder (god) hubadilisha litakalokutokea mbele..
N:B muda ni moja katika yeye.
Tumia muda kuelewa hayo afu ndo ureply.
Unaelewa kwamba hujajibu swali nililouliza, na swali ulilojibu sijauliza?

Sijauliza kama dua ama maombi hubadilisha au la litakalotokea mbele.

Swali langu ni hili.

Unaelewa kwamba, kwa maelezo yako, Mungu akijua kwamba utaiba kesho, huwezi kuepuka kuiba?

Hujajibu swali hili, unajibu swali la kama dua inabadilisha litakalotokea. Sijauliza hilo.

Unaancha kujibu swali nililouliza, unatunga lako na kujijibu mwenyewe.
 
Uwezekano wa kuepuka upo..kabla ya kulala omba dua kwa creator wa matukio akuepushie na tamaa mbaya za dunia..
Hilo kaliweka wazi kwamba niombeni ntawapa.
Au nimeenda O.P tena..nieleweshe maana nimeingilia kati hili swala.
 
Upo njia panda, unataka kwenda kulia au kushoto.

Hujaamua.

Mungu anajua utakwenda wapi?
 
Upo njia panda, unataka kwenda kulia au kushoto.

Hujaamua.

Mungu anajua utakwenda wapi?
Ndio anajua unakwenda wapi coz muda ni katika yeye..so anajua future zako..
Kabla hujaamua kwenda kokote anajua utaamua nini.
 
Ndio anajua unakwenda wapi coz muda ni katika yeye..so anajua future zako..
Kabla hujaamua kwenda kokote anajua utaamua nini.
Unaelewa kwamba ulimwengu ambao Mu gu anajua utafanya ni i kabla wewe hujafanya hauna freewill kwa hiyo mtu?
 
Even if fate creator(Allah) anatambua fate zako lakini fate chooser(binaadamu) ana fate nyingi za kuchagua..(free choice per time).
Au unataka ufree UPI..
Kama una uchaguzi wa kuchagua, Mungu anajua utachagua uchaguzi upi kabla hujauchagua?

Unazunguka tu swali hili.

Hulijibu.

Haiwezekani wewe ukawa una uchaguzi wa kuchagua, halafu Mungu asiyeweza kukosea akajua utachagua nini , halafu uchaguzi wako ukawa wa uhuru kabisa.

Hiyo ni contradiction.

Ni sawa na wewe uandae movie, uangalie movie, unajua movie yote itakavyoenda mpaka mwisho.

Halafu uniambie kwamba wale actors wa kwenye movie wana uwezo wa kubadilisha movie itakavyoisha.
 
Yah anajua utaangukia wapi katika machaguo yako mbona nshakujibu.
 
Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....

Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana

Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana

Muwe na mchana Mwema
Hadithi za kuokoteza okoteza
 
Wiki hii tunaangazia neno “Sifongo” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Bwana Sigalla anasema kwamba msamiati huu unafahamika kutokana na kuandikwa sana katika vitabu takatifu. Anasema sifongo ni kama kitu yavu yavu kinachosharabu maji na kina uwezo wa kukaa na maji lakini pia kinayaachia yale maji na hutumika sana kwa kuogea na kujisugulia.
HIYO NDIO MAANA YA SIFONGO HIYO YA KWAKO UMEITOA WAPI
 
NOMINOplural siki
  • 1
    maji k.v. ya matunda au nazi yaliyochachuliwa kwa makusudi ambayo hutumika kuongezea ladha katika baadhi ya vyakula au dawa
 
Kama una uchaguzi wa kuchagua, Mungu anajua utachagua uchaguzi upi kabla hujauchagua?

Unazunguka tu swali hili.

Hulijibu.

Haiwezekani wewe ukawa una uchaguzi wa kuchagua, halafu Mungu asiyeweza kukosea akajua utachagua nini , halafu uchaguzi wako ukawa wa uhuru kabisa.

Hiyo ni contradiction.

Ni sawa na wewe uandae movie, uangalie movie, unajua movie yote itakavyoenda mpaka mwisho.

Halafu uniambie kwamba wale actors wa kwenye movie wana uwezo wa kubadilisha movie itakavyoisha.
Remember mungu is reality shaper...
 
Hata hivyo kuna maneno hujayaweka sawa.
Sifongo kwa tafsiri yako umesema ni sumu kali sana inayoua haraka. Je siki ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom