Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani


Sifongo is a pipette, mrija au chombo cha kufyonza maji au liquid yoyote kutoka ndani ya bakuli lake kumnywesha aliye juu au hajiwezi. Yesu aliona kiu, akataka maji, lakini sifongo ikatumika kumnywesha siki (vinegar) badala ya maji, hakutaka kuendelea kunywa tena.
 
Kiukweli YESU alikufa kifo cha aibu na mateso makubwa sana! So painful [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kiukweli YESU alikufa kifo cha aibu na mateso makubwa sana! So painful [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Na wewe unakubali kabisa kuwa Mungu MKUU mwenye upendo wote na HURUMA zote aamue KUMUUA KIUMBE ASIE NA DHAMBI KIFO CHA AIBU NA MATESO MAKUBWA ili mlevi na mbakaji asamehewe dhambi zake?

Hii wala haihitaji kwenda shule kufahamu kuwa huo wote ni UONGO anaosingiziwa Mungu. Na MUNGU hana sifa chafu namna hii.
 
Duh hivi jamaa yesu aliwakoseaga nini mbona walikuwa na hasira naye sana dah inauma sana


Yaan watu wamekupiga misumari wakaona haitosh wakampiga na sifongo tena
Inawezekana kuna watu nafasi zao za utawala zilikuwa hatiani kupotea, walihakikisha anakufa, yaani ni kama wale wa Tundu Lisu.
 
Biblia ya kingereza inataja sifongo kama sponge lijinguo fulani ambalo walitumia kuchovya kwenye siki au divai chachu maana yake sifongo sio sumu.
 
ulichonifurahisha,kwenye coment yako,neno mungu,herufi m,umeweka herufi kubwa,kwetu ina maana sana ili kumtofautisha na wengine,yeye tu ndo huanza na herufi kubwa.waliobakia wote ni ndogo..
Wewe nae hujui umekariri kariri maisha. mwandishi alimaanisha ''m '' na siyo ''M'' kama unavyotaka na kudhani wewe! sababu kuna tofauti kati ya mungu wa Roma na Mungu wa Israel, hata yesu wao ni tofauti sana. hajakufurahisha umejifurahisha
 
Lakini kwa nini ndugu zake James, Jose na Salome hawakuja kumsaidia japo hata kulia naye Msalabani tu, hata kutetea wakati wa hukumu jamani! duuu! walikuwa na roho ngumu sana. basi hata wangeomba utawala husika wakamzike ndugu yao basi.

Hata makaburini hawakwenda, badala yake akaenda yule dada Mary Magdalena, na mama mzazi,
roho mbaya ya ndugu kumbe ilianza zamani sana,hta Mungu wanamfanyizia. Rafiki ni Bora sana
 
lakini mkuu,si ungetafsiri yako,kwa jinsi upendavyo,wengi wametafsiri,mfano mashahidi wa yehova,wakatoliki wao wameongeza na vitabu vingine zaidi,kimbembe ni pale tu,tutakaposimama mbele ya Mzee wa siku.
SIFONGO - SPONGE
Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumtelemsha. Marko.

ACHA UONGO.
 
Mkuu umepotosha sana juu yaneno sifongo na siki,sifongo ni kitambaa kinachoweza kubeba kimiminika ,na siki ni kinywaji chenye kilevi kikali zaidi,hivyo bwana yesu hakupewa sumu wala nini,Bali alipewa siki kupitia kitambaa cha sifongo(sponge like materials)
 
naanza kwanza kukomenti kabla ya kusoma maelezo yote,kichwa cha tu ndio nimesoma kusema na ukweli hua sielewi kbs sifongo ni nini na siki ni mdudu gani
 
pamoja na kumfanyia hayo yooote eti jamaa aliwasamehe!!! yaani jamaa makatili kinoma!!! eti ni mbinguni moja kwa moja!! wkt jiwe ananyea debe!! tena ameanza mapema tu kubeba Mtondoo wa shetani!! Duuuuu!!!!!!
 
Mzee una uhakika? Makerubi ni neno limetoholewa toka kiingereza cherub..hebu weka neno la kileo/kisasa la cherub kwa kiswahili
 
Yaani kiwango cha upotoshaji alichofanya ni cha hali ya kupita kikomo.
 
pamoja na kumfanyia hayo yooote eti jamaa aliwasamehe!!! yaani jamaa makatili kinoma!!! eti ni mbinguni moja kwa moja!! wkt jiwe ananyea debe!! tena ameanza mapema tu kubeba Mtondoo wa shetani!! Duuuuu!!!!!!
We mwehu sana.. [emoji23][emoji23][emoji23] em nipe namba yako ya whatsapp natamani nikuone unavyofanana
 
We mwehu sana.. [emoji23][emoji23][emoji23] em nipe namba yako ya whatsapp natamani nikuone unavyofanana
Teeh!! teteee!! ndo ivo Mazee sie ma idealistic mnatuitaga wehu!!! Si unaona Yesu walitaka kumfunga kamba eti amerukwa na akili!!!!
hata Nyerere, Baba yake alimwambia kwa kizanaki ''Abhazungu bharakwita mwanoo!! wane weee!'' tiga mang'ana gayo ga kisenzi senziii''

yaani mie Mkuu Siku ukiniona hutaishi....amini maneno yangu!!
 
Huyu Mzee Burito alikuwa anamaanisha nini mkuu?
Naona umeandika bila kutoa tafsiri ukifikiri kila mtu anajua Kizanaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…