njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao.
Na kabla hujakandia lolote habari ya Enyimba jana kuwa namba 352 huko Nigeria imepokelewa kwa shangwe kubwa sana sioni sababu ya simba kutoshangilia pia ,let us celebrate bana tuko hadi juu ya dinamo moscow.
kama team yako haipo kwenye list ongea na david mwakalebela umpe hela ya ku file malalamiko CAS kesi yako itashuhulikiwa na team yako itaingizwa kwenye list.