IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika
Ninachojua Simba tumeshika nafasi ya 104 Africa na takwimu ni za hivi karibuni tu Jan 23, 2022

Screenshot_20220130-162142_Chrome.jpg
 
Ngoja niweke kambi hapa, mamluki mnasemaje?
 
MNAOBISHA POLENI SANA ENDELEENI NA DATA ZENU ZA FOOTBALL DATABA HUKO UTAKUTANA NA TEAMS HATA AMBAZO KWENYE ULIMWENGU WA SOKA HAZIPO TENA ..SASA NI HIVI LAST YEAR KARIA NA TFF YAKE YA MCHONGO NA BODI CHAKAVU YA LIGI PAMOJA NA MAKANJANJA YA MEDIA YALIKUWA YANAJISIFU KWAMBA LIGI YA TANZANIA IKO NAMBA 8 UNAJUA STATISTICS ZILITOKA WAPI? SASA KWA TAARIFA YAKO IFHSS IS LEGIT INATAMBULIKA NA FIFA NA ILIANZISHWA MWAKA 1984 WAY BACK BEFORE HATA INTERNET HAIJULIKANI NI KITU GANI
Screen Shot 2022-01-30 at 4.27.30 PM.png
 
mtapindisha sana maneno mbona hii list imewauma sana? kwa maoni malalamiko na ushauri ingia hii website au hamjui kiingereza wandugu? www.ifhss.com
Tunachojua sisi ni kuwa Simba tumeshika namba 104 Africa na link hii hapa chini nimekuwekea
Screenshot_20220130-162142_Chrome.jpg
 
Wewe chawa wa Barbra umezidi upotoshaji kwa wasiokujua, nadhani unalipwa kwa kuleta Propaganda humu jf ili kutupoteza mashabiki halisi wa Simba tusihoji ubovu wa timu yetu..
 
Safari hii mikia wanatafuta kila aina ya vipoozeo vya kuwapa faraja
 
Pamoja na simba kuumia mgongo kwa kuwabeba vibonde wa hi linchi pamoja na shirikihisho la hovyohovyo TUNASHOSHUHUDIA NI FIGISU HADI ZA KUMFUNGULIA KESI CEO WA SIMBA NA MAMBO MENGI YA AJABU AJABU ILA MUNGU NDIYE ANAONA UKWELI SIMBA KAIBEBABA TENA HI LIGI ILIYOPAUKA KAMA NGOZI YA LOPOLOPO LA VYURA VYURANI

LIGI MBOVU YA TFF NA BODI CHAKAVU YA LIGI INASHIKA NAMBA 62 DUNIANI NA YA 9 AFRIKA BAADA YA KUPIGWA BAO NA ZAMBIA KWANI MWAKA JANA LIGI CHAKAVU ILIBEBWA NA SIMBA NA KUSHIKA NAMBA 8

CHA KUSHANGAZA WAHUSIKA HUWA WAKISHAPEWA HELA ZINAZONUKA ZA UDHAMINI HEWA WA MATAPELI YA SOKA HUANZA KUJISIFU HOVYOHOVYO HUKU WAHUSIKA WALIOIPANDISHA LIGI KIMATAIFA WAKIWA WANAWACHORA TU

FOR MORE INFO: IFFHS

View attachment 2101189
Mtabaki kuokoteza furaha ya kulazimisha wakati huo roho mkononi Kama mwizi, iyo nafasi imewasaidia nini mpaka sasa ebu tuambie!
 
Nimeweka hapa list kuhusu simba kuwa ranked namba 98 duniani na namba 7 na taasisi iiitwayo The International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) kuna watu wamelipuka kwa hasira kwelikweli mwingine anauliza wanajua msimamo wa NBC mwingine anakuambia yaani s imba iipite mazembe na as vita?\

Mbaya zaidi mwingine anaenda kuleta list ya FOOTBALL DATABASE (FootballDatabase - Club Rankings and Statistics) what a shame, ndiyo maana duniani kuna taaisis za kutoa takwimu na huheshimika na kila mtu yaani ni BENCHMARK kabisa ,leo Forbes wakisema MO dewji ni namba 15 africa kwa utajiri wewe uka ni point kwenye website inayosema Engineer Hersi wa Gsm au lopolopo lilipauka ngozi ni la 7 kwa utajiri afrika kisa website yako inaitwa richpeopledatabase.com unataka nikuamini?

FOOTBALL DATABASE WENYEWE WANASEMA WAO WANATUMIA ELO RATING SYSTEM ni AI algorithm yaani siyo kwamba wanafanya research (The Elo rating system is a method for calculating the relative skill levels of players in zero-sum games such as chess. ... A player whose rating is 100 points greater than their opponent's is expected to score 64%; if the difference is 200 points, then the expected score for the stronger player is 76%.)

tafsiri isiyo accurate sana :

Elo rating system​

Maelezo​

Yametafsiriwa kutoka Kiingereza-Mfumo wa kukadiria Elo ni njia ya kuhesabu viwango vya ustadi wa wachezaji katika michezo ya sifuri kama vile chess. Imepewa jina baada ya muundaji wake Arpad Elo, profesa wa fizikia wa Hungary na Amerika.

Turudi kwa IFHSS hii taasisi ilianzishwa mwaka 1984 huko Leipzig Germany kwa sasa imehamia nchini uswisi, kirefu chake ni The International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) inajishusisha na historia ya mpira na takwimu

nawakumbusha tu ni mwaka jana watu walitamba vpl kuwa namba nane afrika kwa takwimu hizihizi za hawa jamaa leo simba imepanda watu wanaanza kuleta vi website vyao vya mtu aliyekaa chumbani kwake ana rank team kwa ELO SYTEM ALGORITHM

naweka na screenhot ya gazeti kubwa kabisa la michezo huko spain likisema jamaa hawa wame irank real madrid klabu bora duniani hii ilikuwa mwaka 2014: tena wanasisitiza siyo kitengo cha FIFA ila wanatambulika na FIFA na hawa jamaa wa IFHSS wana awards zao zinazoheshimika kabisa

Screen Shot 2022-01-30 at 4.45.32 PM.png

hawa hapa ni daily news wakishangilia VPL kuwa ranked namba nane afrika ..mafanikio yaliyoletwa na simba hayo ingawa BODI CHAKAVU YA LIGI NA UDHAMINI HEWA WA MATAPELI YA SOKA ushasahau yote hayo
Screen Shot 2022-01-30 at 4.42.19 PM.png

NIENDELEEEE AU ::: MENGINE INGINENI MTANDAONI WENYEWE KAMA NI WEBSITE ZA HOVYOHOVYO HATA WEWE ANZISHA UIWEKE UTOPOLO NAMBA MOJA AFRICA IIITE THEGREATSOCCERTEAMS.COM ILA FIFA HAWATAITAMBUA HIII YA IFFHS INATAMBULIKA HATA KWA INFANTINO
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mtabaki kuokoteza furaha ya kulazimisha wakati huo roho mkononi Kama mwizi, iyo nafasi imewasaidia nini mpaka sasa ebu tuambie!
 
Mkuu Makasiriko Ya Pablo Kupigana Na Viti Naona Hadi Kwa Mashabiki Wao.[emoji23]
 
Pamoja na simba kuumia mgongo kwa kuwabeba vibonde wa hi linchi pamoja na shirikihisho la hovyohovyo TUNASHOSHUHUDIA NI FIGISU HADI ZA KUMFUNGULIA KESI CEO WA SIMBA NA MAMBO MENGI YA AJABU AJABU ILA MUNGU NDIYE ANAONA UKWELI SIMBA KAIBEBABA TENA HI LIGI ILIYOPAUKA KAMA NGOZI YA LOPOLOPO LA VYURA VYURANI

LIGI MBOVU YA TFF NA BODI CHAKAVU YA LIGI INASHIKA NAMBA 62 DUNIANI NA YA 9 AFRIKA BAADA YA KUPIGWA BAO NA ZAMBIA KWANI MWAKA JANA LIGI CHAKAVU ILIBEBWA NA SIMBA NA KUSHIKA NAMBA 8

CHA KUSHANGAZA WAHUSIKA HUWA WAKISHAPEWA HELA ZINAZONUKA ZA UDHAMINI HEWA WA MATAPELI YA SOKA HUANZA KUJISIFU HOVYOHOVYO HUKU WAHUSIKA WALIOIPANDISHA LIGI KIMATAIFA WAKIWA WANAWACHORA TU

FOR MORE INFO: IFFHS

View attachment 2101189
Yaani umeandika ukiwa una hasira na njaakalihatari! Hebu kama vipi kale msosi halafu uteremshie na maji mengi.

Huna cha kupoteza hata ishike nafasi ya mwisho Afrika na duniani! Wewe cha msingi pambana watoto wale ugali.
 
Sudan wanacheza mpira au wanagombania nchi yao wao kwa wao? GSM ni msudan ametumwa kuivuruga Simba ili ikishuka basi na ligi linashuka.
 
Safari hii mikia wanatafuta kila aina ya vipoozeo vya kuwapa faraja
hiyo ni ya mwaka jana iku sum up issues za 2020 soma tarehe kuna mpya boss ,wenzako wa utopoloni wameiona roho zimelipuka i suggest that you fasten your belt and take a deep breath
Screen Shot 2022-01-30 at 3.19.35 PM.png

Screen Shot 2022-01-30 at 3.34.00 PM.png
 
Yaani umeandika ukiwa una hasira na njaakalihatari! Hebu kama vipi kale msosi halafu uteremshie na maji mengi.

Huna cha kupoteza hata ishike nafasi ya mwisho Afrika na duniani! Wewe cha msingi pambana watoto wale ugali.
huo muda wa kuja kunipa ushauri si ungeutumia kupambania ugali wako mkuu? au hilo bando ungeangalia ngono?
 
Back
Top Bottom