njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #61
kwa malalamiko maoni na ushauri kuhusu chawa wa Barbra kuleta propaganda wasiliana nasi hapa makao makuu Zurich Switzerland kwa tovuti hii IFFHSWewe chawa wa Barbra umezidi upotoshaji kwa wasiokujua, nadhani unalipwa kwa kuleta Propaganda humu jf ili kutupoteza mashabiki halisi wa Simba tusihoji ubovu wa timu yetu..