IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika
Aombe Radhi. JF ni home of great thinkers. Hakuna wajinga wa JF.
 
We chawa wa Barbra ilo bando walilokuungia leo uje umwage Propaganda zako humu jukwaani halijaisha tu??
Tunachojua Simba ni ya 104 Africa kwa takwimu za hivi karibuni kabisa 23 Jan 2022. Link hii hapa chini Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
Screenshot_20220130-162142_Chrome.jpg
 
wako wengi sana mtu unaleta data za respectable and recognisable insitute kuhusu soccer halafu katika kubishana linatokea jinga na data za footballdatabase.com amboa hata kwenye website yao wanakuambia wanatumia Elo rating system....jitu linakakamaa mishipa na kusema simba ni ya 104 africa, jitu linaona data kwamba siko iko juu linauliza mbona hamuongozi ligi HAO SIYO WAJINGA?
 
We chawa wa Barbra ilo bando walilokuungia leo uje umwage Propaganda zako humu jukwaani halijaisha tu??
Tunachojua Simba ni ya 104 Africa kwa takwimu za hivi karibuni kabisa 23 Jan 2022. Link hii hapa chini Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
View attachment 2101537
HUU UZI KAMA UNAJUA KUSOMA UNGEUSOMA USINGETHUBUTU KULETA HUU UJINGA WAKO KAMA SIMBA NI YA 104 UTOPOLO HAPA SI ITASOMA YA 3400?

mimi leo nikifungua website NIKAAITA WWW.UTOPOLORICHMEN.NET nikasema lopolopo lenye upungufu wa melanini kwenye ngozi yake na akili yake liko top ten ya utajiri afrika utaamini? hopeless wewe ndiyo maana wanaminika Forbes tu SITACHOKA KUFUNDISHA WAJINGA KAMA NYIE MAAANA NI MZIGO KWA TAIFA

**unajua kusoma kiingereza lakini? unachezaga games ? unajua lolote kuhusu ELo rating system? unajua ni AI? unajua maana ya Artificial inteligence?
Unajua IFHSS tangua 1984 wanafanya reseach zao manually? unajua internet hadi mwaka huo ilikuwa haipo except jeshi la USA waliokuwa wanaitumia tangu 1961?
Unajua ni kwanini FIFA wanatambua reseach za IFHSS ambao wako nao jirani tu hapo Zurich Uswis? nikuuuliza ofisi za hao football database utaniambia ziko wapi ? au ni mtu mmoja anatumia Elo rating system inaji rate yenyewe? GROW UP WEWE
elo.png
 
Umbumbumbu tu
TULIENI NYIE WATOTO WADOGO NYIE NDO KUTWA KUBISHANA NA FORBES MAGAZINE LIKISEMA MO NI TAJIRI mnaleta viwebsite eti footballdatabase inayotumia elo rating? sasa kama simba ni ya 104 africa utopolo ya ngapi Mungu wangu?
 
View attachment 2101541
Chawa acha janja janja kwa bando lakuungiwa na Barbra izo Propaganda haziwezi kukusaidia popote.. Tunachojua ni kuwa Simba ni ya 104 na link hii apo nimekuwekea

Screenshot_20220130-162142_Chrome.jpg
 
TULIENI NYIE WATOTO WADOGO NYIE NDO KUTWA KUBISHANA NA FORBES MAGAZINE LIKISEMA MO NI TAJIRI mnaleta viwebsite eti footballdatabase inayotumia elo rating? sasa kama simba ni ya 104 africa utopolo ya ngapi Mungu wangu?
Kama hizo ranking ni muhimu sana basi zingezuia kichapo mlichopata toka kwa Mbeya city na Kagera sugar
 
Chawa acha janja janja kwa bando lakuungiwa na Barbra izo Propaganda haziwezi kukusaidia popote.. Tunachojua ni kuwa Simba ni ya 104 na link hii apo nimekuwekea

View attachment 2101546
Ajax ni team ya congo brazaville hao wataalamu wako AI yao ya ELO rating system inawaambia ni ya Congo drc na bendera wakaweka kabisa...HOPELESS
 
Boss Mo naona anaongea Kichina kwenye mtandao wa Twitter!

Screenshot_20220130-195250_Twitter.jpg

Screenshot_20220130-195257_Twitter.jpg

Screenshot_20220130-195349_Twitter.jpg
 
huu uzi umekufundisha lolote kuhusu manguli wa huko Uswisi jiji la Zurich wanavyofanya tafiti kuhusu soccer teams? au unaishi kwenye utopia?
Tajiri wenu ana twiti uko, katika mechi 3 mmeambulia point 1 kwa shida sana
 
Back
Top Bottom