MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Sisi utopolo fc list yetu itatoka mwakani.
🙄🙄🙄🙄
🙄🙄🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una njaa kali hatari.Pamoja na simba kuumia mgongo kwa kuwabeba vibonde wa hi linchi pamoja na shirikihos la hovyohovyo TUNASHOSHUHUDIA NI FIGISU HADI ZA KUMFUNGULIA KESI CEO WA SIMBA NA MAMBO MENGI YA AJABU AJABU ILA MUNGU NDIYE ANAONA UKWELI SIMBA KAIBEBAB TENA HI LIGI ILIYOPAUKA KAMA NGOZI YA LOPOLOPO LA VYURA VYURANI
LIGI MBOVU YA TFF NA BODI CHAKAVU YA LIGI INASHIKA NAMBA 62 DUNIANI AN YA 9 AFRIKA BAADA YA KUPIGWA BAO NA ZAMBIA KWANI MWAKA JANA LIGI CHAKAVU ILIBEBWA NA SIMBA NA KUSHIKA NAMBA 8
CHA KUSHANGAZA WAHUSIKA HUWA WAKISHAPEWA HELA ZINAZONUKA ZA UDHAMINI HEWA HUANZA KUJISIFU HOVYOHOVYO HUKU WAHUSIKA WALIOIPANDISHA LIGI KIMATAIFA WAKIWA WANAWACHORA TU
FOR MORE INFO: IFFHS
View attachment 2101189
Ahly ana mechi 5 hajashinda hata moja juzi kapigwa 3-0 na Smouha na yuko nafasi ya 20 duniani ila kama una malalamiko wasiliana tu na hawa jamaa waambie kuna team ina mayele wameifunga polisi ya moshi 1-0 hawaonekani hapo IFFHSTimu kuwa kwenye list hii wakati bado inafungwa na timu average kama Kagera sugar haitusaidii.!
Tena kwenye uwanja boraTimu kuwa kwenye list hii wakati bado inafungwa na timu average kama Kagera sugar haitusaidii.!
Mkuu Makasiriko Ya Pablo Kupigana Na Viti Naona Hadi Kwa Mashabiki Wao.[emoji23]Una njaa kali hatari.
Nakumbuka kuna uzi ulisema maisha yanakupa stress sana mpaka unapata vidonda vya tumbo. vp unaendeleaje?!anzishia uzi wake ila peleka huo msimamo kwa hawa jamaa IFFHS itasaidia kuingia kwenye ranks za kidunia
kwa malalamiko maoni na ushauri wasiliana na hawa jamaa IFFHSHivi wana Simba wenzangu haya mambo ya kijinga jinga huwa tunayapendea nini?? Timu haifanyi vizuri uwanjani, mashabiki tumejaa huzuni tupu kwa matokeo yasiyoridhisha, halafu mashabiki wajinga wajinga wanakuja na vi takwimu uchwara ili kutufariji..
bila shaka kumbukumbu zako ndizo zina vidonda vya tumbo usinitoe nje ya mada umeonaje list? unahisi hawa jamaa wamedanganya au kuna team inaonewa hapo? au list ya uongo?Nakumbuka kuna uzi ulisema maisha yanakupa stress sana mpaka unapata vidonda vya tumbo. vp unaendeleaje?!
website nimeweka screenshot nimeweka bado unasema ya zamani ile ya mwaka jana simba ilikuwa ya 315 na ligi ilikuwa ya 8 afrika ...kwa sasa simba ya 98 ligi ni ya 9....tembelea hapa IFFHS ..taarifa hii ni ya 23/01/2022 unless ndani ya hizi siku 6 walitoa list nyingineHii orodha mbona kama ya kitambo sana?...au wali-update taarifa?