njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
yees mkuu wasiliana na mwakalebela muende CAS huko nigeria ni shangwe tu halafu hapo kwenye 361 angalia vizuri pembeni pameandikwa 1 yaani tanzania number 1 mapaka yako juu kama benderaUpuuzi kama upuuzi mwingine kutoka kwa Mapaka fc
hawa tunawachapa left and right siku hizi wanabishana hadi na twakwimu za CAF yaani wao wanaonewa tu wakate rufaa CAS ili takwimu za mapinduzi cup ziwekwe ziwapandishe, hawa jamaa IFFHS wameanza hizi kazi 1984 nilikuwa naangalia takwimu za simba miaka ya 2010 team ilikuwa ya 1800 huko unaona kabisa juhudi z ateam kujipeleka sehemu sahihi ingawa kuna vikwazo vya kila aina kutoka serikalini hadi kwa makanjanja lakini simba ishakuwa noticed na inaheshimika sasa wale wa majungu acha waendelee na upumbavu waoUto Polo hawawezi furahia hii habari
KABISA KAKA yaani ninja alivyocheza vile mapinduzi cup na jamaa hawana shots on target halafu hatupo top 400?Hatukubali sisi ndio mabingwa wa kihistoria tunaenda kushtaki CAS, mnatuhujumu hadi kwenye takwimu.
ingia kwenye website yao hii wana makorokoro mengi sana https://www.iffhs.de/posts/904
Pole sana mkuu unateseka ukiwa wapiSimba ni zaidi ya Anderletch na Torino... Inahitaji kuwa na akili ya kimbumbumbu kumeza habari kama hii.
Kwa hiyo na wewe unaamini Enyimba ni bora kuliko Al ahly, zamalek, mamelod n. K? Acha u K, tumia akili zakoMakanjanja yanatangaza ligi kuwa ya nanee lakini chanzo hichohicho kinasema simba ni ya 361 duniani wanakwepa kutangaza
Mmmmmmh ya kweli aya
Huo ndio ukweli
Hao wengine mpaka waonekane kimataifa ndio wajadiliwe.
Kwa hapahapa wanaongoza ligi kwa sasa.
Kimataifa wamepotea karibu zadi ya Karne moja kwa sasa.