econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Masikitiko yangu ni kwenye mabasi, video za matako wazi na vichupi zinasikitisha sana.
Kwenye basi ndio hatari, mpaka utafunga macho. Na hivi screen wakuletea machoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikitiko yangu ni kwenye mabasi, video za matako wazi na vichupi zinasikitisha sana.
Hii kitu waiangalie. Kwa wastani sio afya kuwa na nyimbo kama hizo kwenye mazingira yanayokutanisha watu wa aina mbalimbali.Kuna siku waliweka wimbo wa Mr Mwanya, aisee ilibidi wautoe. Ulikuwa Kama pono vile. Nikajiuliza BASATA wameruhusuje kitu Kama hiki.
Halafu hawa watu wa mabasi sijui wanatuonaje......wanapenda sana kutuchezea video za bongo flava zenye maudhui ya ngono na ukahaba. Yaani mtu huwezi hata kusafiri na mtoto wako kwenye basi moja kisa nyimbo na video za ngono, bangi, ushoga, usagaji na mambo mwengine ya ovyo. Inauma sana.
Nyimbo za matusi hazihusiani na hiyo50/50 ni usawa wa binadamu yaani kila anachofanya mwanamke na mwanaume afanye na anachofanya mwanaume na mwanamke afanye kuanzia majukumu ya nyumbani,kazi,starehe na thamani ya maisha.
Hata kina Lady JDMbona kipindi akina Prof na Sugu wakiwa kwenye peak waliimba kistaarabu ingawa walikuwa Wana rap.
acha ubwege
Hii Ina uhusiano gani n nyimbo za kipuuzi kuharibu maadili Kwa mujibu wa mleta Uzi!?50/50 ni usawa wa binadamu yaani kila anachofanya mwanamke na mwanaume afanye na anachofanya mwanaume na mwanamke afanye kuanzia majukumu ya nyumbani,kazi,starehe na thamani ya maisha.
Haina uhusiano sawa lakini ukubali usikubali 50/50 imechangia 96% mmomonyoko wa maadili,gender moja inatembea uchi makusudi kwa sababu kuna mahakama,inaimba nyimbo za chumbani bila aibu kwa sababu ina pesa na elimu,hakuna tena ubinadamu ni umbuzi kwa kwenda mbele.Hii Ina uhusiano gani n nyimbo za kipuuzi kuharibu maadili Kwa mujibu wa mleta Uzi!?