umeona ya congo juzikati hapa mkuu??
walilazwa raia kama kuku,zilizagaa video tupu mitandaoni.
yaani unapoandamana hakikisha nyuma yako ipo haki tu,sio msukumo kutoka sehemu,utauwawa tu.ili kupisha amani itawale.angalia wajinga wameanza kuchoma mali za uma,vituo vya mabasi ya mwendokasi nk.
Na ndio wanachokitaka, hizo mambo za SARS na SWAT ni kivuli tuBuhari atapinduliwa...
Na sisi tujaribu basiili serikali ipunduliwe?
Nani wapigwe wakati raia hawazuilikiAcha wapigwe tu kipigo cha mbwa koko pumbavu zao
Kwahiyo wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni policeUngekuwa Nigeria alafu uzungumze hivi Watu wangekugawagawa...
Waafrica tunalaana yetu ya asili ya ujinga. Wewe ndio una laanaNgozi nyeusi unamaanisha waafrika weusi ? Kama ndiyo, tuna laana gani ?
Si wanaogopa na waosijui kwanini wanasisiemu wanapata hofu sana wanaposikia raia wa taifa fulani ndani ya africa wanafanya maandamano dhidi ya viongozi waliopo madarakani?.
Wewe unaona hayana faida, tumia muda fuatilia kwa undani hilo suala siyo unawalaumu tu wakati huna taarifa za kutosha kuhusu chanzo cha mandamano hayo na je SARS wamefanya mabaya gani ambayo watu wameamua kuandamana.Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu...
Ndiyo police Hicho kikosi cha ant robbery, Kimekuwa kikiwafanyia unyama watu, Watu wameamua kuchukua hatua wenyeweKwaio wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Hiyo ndiyo Inaitwa nguvu ya watu, Watu wakiamua ni shida kuwatuliza, Inataka busara ya Hali ya juuWaache wapambane na Hali zao.
Kuona damu za watu zinamwagika kuna raha yake.
Hiyo ndiyo Inaitwa nguvu ya watu
Watu wakiamua ni shida kuwatuliza
Inataka busara ya Hali ya juu
Lkn ukiwaletea ubabe nao wanaleta ubabe
Maana wenyewe wanakwambia wako wengi
Nyie askari wachache na sahv Wana target familia zao hatariii
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app