Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

Maandamano yalikuwa ya kupinga ukatili wa polisi ila kwa sasa yanaelekea kuchukua mkondo wa kisiasa.
Na yaeleke huko mkuu mm naunga mkono maana wanasiasa wa Nigeria wame zidi kwa ufisadi.
 
Upupu.Sasa km wewe hutaki kutafuta habari ndio unakuja humu na ujinga wako unajifanya mfikiriaji mkubwa.Wewe wala huhitaji kuambiwa ni wa kuachwa tu.
 
Kwahiyo wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Hujui jambo huwa linazua Jambo.unafikiri hivyo vikosi maalumu vya polisi viliundwa bila idhini ya rais.Na hayo wanayoyafanya polisi rais hayaoni.Ni rais dhaifu,ufisadi uliokithiri.
 
Serikali haina cha kupoteza!!!! Unajua ulichoandika au umetoka usingizini.
 
Kosa kubwa ililolifanya serikali ya Nigeria na serikali nyingi za kiafrika hufanya hayo hayo ni kuwafool wananchi , kuwafanya wananchi watoto kwa kuwaambia wamefuta kikosi cha SARS ili hali kiuhalisia bado kipo mzigoni ni sawa na kusema umemfuta kazi Magufuli badala yake umemuweka Majaliwa hicho ndicho Nigeria ilichokifanya
 
Umetoka usingizini bila shaka. Serikali inatakiwa iondoke halafu haina cha kupoteza.Kweli ujinga ni kipaji.
Nami naungana na mleta thread hii. Pamoja na kuwa sisi hatupo huko Nigeria, lakini tunafuatilia yanayoendekea huko. Bado swali, hao waandamanaji, WANATAKA NINI cha zaidi? Kwa sababu madai yao, yameshughurikiwa.
Ingekuwa enzi zileeee, tayari jeshi lingeshachukua Nchi!
 
Yaani mtu mzima unaandika kuwa unafuatilia kinachoendelea halafu bila aibu unasema hujui waandamanaji wanataka nini.Duuuh.
Basi ukiachana na la polisi sasa hivi wanataka:
1.serikali iondoke madarakani kutokana na ufisadi na umaskini uliokithiri.
2.Ukosefu mkubwa wa ajira.
 
Habari ndugu zangu za siku nyingi ,niende moja kwa moja kwenye mada nchini Nigeria kuna machafuko yanaendelea ni nini shida mnaoelewa nawakaribisha mnijuze..

Manake kauli mbiu yao wanasema #endsars hasa sijui wanamaanisha nini ni vizuri tujue awa ndugu zetu wanatatizo gani.
 
Binadamu wenye akili mbovu ni_____
1.mwarabu
2.mwafrika.
Wakimchukia kiongozi,wanachukia na nchi yao,huwajui uongozi unapita lakni nchi itaendelea kuwepo,binadamu hawahawa wakilikoroga hawawezi kulinywa wanaishia kukimbia.wazungu wao kazi yao nikuvijaza pumzi mgogoro ukikolea jamaaa wanaingia kupiga hela angalia Libya,syria,Iraq hakuna kinachoendelea kiufupi wafrika na waarabu Uhuru hatuuwezi.
 
Na nyinyi watawala muache laana ya kuwaona wananchi ni subjects wenu!
 
kwahiyo unasemaje? Tutawaliwe kama jiwe anavyoua watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…