Hapana, na liwe roboti tu.
Naombeni connection.
Image kidume ana michepuko minne kila mmoja akipuliza π€¨πππNdio maana mirembe idadi kubwa ni wanaume. Unalishwa limbwata na mke na michepuko. Bado kazini wakuloge na huku mizimu ya kwenu nayo inakuandama.
Wakikupatia shoga nipatie na mimi nimlipue mtuπHapana, na liwe roboti tu.
Naombeni connection.
Aaah acha tu tuwalipue, hamna namna.Wakikupatia shoga nipatie na mimi nimlipue mtuπ
Tulogwe, tuwafkshe kilelen, tuwahonge....wanaume tunaptia meng sanaMuda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio yaliniacha mdomo wazi.
Walikuwa wanapiga story za waganga na kuelekezana dawa.
Maongezi yao sasa "Shoga wala sio ngumu, ww unajifukiza dawa huku unanuiza tu, tena hakikisha unapata mlipu, huo mlipu ndio kiboko, unamlipua mlengwa wako popote alipo,chochote utakachoomba, lazima akutimizie"
Walitaja na dawa zingine kama 3 au 4 hivi, ambazo sikuzisikia vizuri.
Kiuhalisia, wanaume wengi hatuna Kinga yoyote, kwa Mungu hatupo, kwa waganga hatupo, hizi dawa kama zinafanyakazi kweli siwatatupa ukichaa? Imagine mabinti watatu kila mmoja aamue kukulipua??
Dah, kumbe ndio wamedhamiria kiasi hiki??
ππNdio maana mirembe idadi kubwa ni wanaume. Unalishwa limbwata na mke na michepuko. Bado kazini wakuloge na huku mizimu ya kwenu nayo inakuandama.
Si mmeambiwa muogope wanaume, huko kuturoga imekuaje tena?Hehe..mlogwe tu maana mmezidi
Baba D kapata mke hasa hongera zake, muwe mnawaonea hata watoto huruma maana madhara ni mpaka kwenye familiaWachana na hiyo habari buana
Raha ya mume akupende akiwa na akili zake
Ukianza hii shughuli unakua kama unaishi na robot ndaniπππ