ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Fanya unavyojua, kwanza nataka unilipue.🤣🤣Tulia nikulipue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya unavyojua, kwanza nataka unilipue.🤣🤣Tulia nikulipue.
Muda machache mambo mengi. Tunaombea yaliyo ya msingi tu.Ee Mungu baba 🤲🤲🤲
Na nyie acheni uchawiPunguzeni idadi ya wanawake mtalipuliwa mfeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni ngumu sana kuwa na mwanamke mmoja yaani nyie hamjui tu ungeumbwa mwanaume hata kwa siku moja nadhani ungeelewaImage kidume ana michepuko minne kila mmoja akipuliza [emoji2955][emoji16][emoji16][emoji16]
Aysee Carrasco putin tusaidie hapa! Tigo iwe kwa wingiHapana, na liwe roboti tu.
Naombeni connection.
Hawana huruma hawa 😅😅Ukijiona unamuonea huruma mwanamke ujue hujajitambua bado, mwanamke anaweza anaweza kukufanyia jambo la kukuumiza na wala asijali, ni watu wa kuishi nao kwa timing sana haijalishi mna miaka mingapi, hakikisha hakuelewi kabisa
Waganga, wateja wao wakubwa ni wanawakeWaganga wanakula pesa za bure sana za kina dada. Kuna mganga pale Tanga Usagara anaitwa Dokta wamama na wanawake wa heshima wanaenda kufata dawa. Wakati jamaa tukiwa nae anasema yeye anawashangaa wanakosa nini.
Mwingine yupo Sakura Pangani, wanaenda wanawake wazuri na wenye pesa yeye anawaambia wataje wanatakacho atawasaidia
unaacha kuogopa magonjwa ka hao mabinti watatu unaogopa kurogeka hii ni nchi yangu kwakweliMuda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio yaliniacha mdomo wazi.
Walikuwa wanapiga story za waganga na kuelekezana dawa.
Maongezi yao sasa "Shoga wala sio ngumu, ww unajifukiza dawa huku unanuiza tu, tena hakikisha unapata mlipu, huo mlipu ndio kiboko, unamlipua mlengwa wako popote alipo,chochote utakachoomba, lazima akutimizie"
Walitaja na dawa zingine kama 3 au 4 hivi, ambazo sikuzisikia vizuri.
Kiuhalisia, wanaume wengi hatuna Kinga yoyote, kwa Mungu hatupo, kwa waganga hatupo, hizi dawa kama zinafanyakazi kweli siwatatupa ukichaa? Imagine mabinti watatu kila mmoja aamue kukulipua??
Dah, kumbe ndio wamedhamiria kiasi hiki??