Ifike hatua, wanawake muwe na huruma dhidi yetu wanaume

Ukijiona unamuonea huruma mwanamke ujue hujajitambua bado, mwanamke anaweza anaweza kukufanyia jambo la kukuumiza na wala asijali, ni watu wa kuishi nao kwa timing sana haijalishi mna miaka mingapi, hakikisha hakuelewi kabisa
 
Waganga wanakula pesa za bure sana za kina dada. Kuna mganga pale Tanga Usagara anaitwa Dokta wamama na wanawake wa heshima wanaenda kufata dawa. Wakati jamaa tukiwa nae anasema yeye anawashangaa wanakosa nini.

Mwingine yupo Sakura Pangani, wanaenda wanawake wazuri na wenye pesa yeye anawaambia wataje wanatakacho atawasaidia
 
Waganga wanawatapeli sana wanawake. Mlipulipu ni mti wenye asili ya kutambaa kama tu mpensheni. Ukikaushwa kisha kusangwa na kuwa unga unakuwa tayari kwa matumizi.
Unga wa mlipulipu ukiuchoma kwenye makaa ya moto au kwa kibiriti unalipuka kama baruti na inaaminika ukifanya manuizi kisha ukachoma mlipulipu jambo au adhima yako itatimia.
Hutumiwa sana kwenye katika kukinga mashamba, mji/nyumba kuhusu mapenzi sijawahi kusikia.
 
Ukijiona unamuonea huruma mwanamke ujue hujajitambua bado, mwanamke anaweza anaweza kukufanyia jambo la kukuumiza na wala asijali, ni watu wa kuishi nao kwa timing sana haijalishi mna miaka mingapi, hakikisha hakuelewi kabisa
Hawana huruma hawa 😅😅
 
Waganga, wateja wao wakubwa ni wanawake
 
unaacha kuogopa magonjwa ka hao mabinti watatu unaogopa kurogeka hii ni nchi yangu kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…