Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Zina vaibu kama umelewa unapiga verse moja hadi ya mwishoHalafu unakuta jitu zima limetulia linaimba 🤣🤣🤣
Daa😅😅😂😂😂🤣😁😁😁😁😁😁Hapo ungetuma na kaclip kidogo ukiwa unavheza huo wimbo ungenoga sana kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Zina vaibu kama umelewa unapiga verse moja hadi ya mwisho
Acha uongo ana miaka 23 tu
Huyo kakaake wa kwanza ukiacha marehemu OMARY ndo kwanza ana 34 now
ZUCHU kazariwa mwaka 2000
Huo mwaka mamaake ndo anaachika katika ndoa yake ya 2 huko Zanzibar na anakuja RASMI Dar es Salam na bwana ake ambaye ndo babaake ZUCHU akitimka huko Zanzibaa kuja kujiunga na TOT
Zuchu ana miaka 30+ acha maneno mengi,Huo mwaka mamaake ndo anaachika katika ndoa yake ya 2 huko nzanzibar na anakuja RASMI dar es salamm na bwana ake ambaye ndo babaake ZUCHU akitimka huko nzanzibaa kuja kujiunga na TOT
Zuchu kazariwa baada kutoka dubai alikokuwa akiimba muzik kipindi ambacho alikaa muda bila band
so ajafikisha miaka 29 kam ilivyoelezwa hapi
Hata kama ajazariwa 2000 basi itakuwa kati 1998 au 1999 na ndo mtoto pekee aliye mzaa NJE ya NDOA na watoto zake wote amewazaa katika NDOA kwa wawili baba mmoja na mmoja OMARY(marehemu) kwa mume wake wa kwanza
Ila cha kusikitisha ni kuwa WANAUME WOTE WALOWAHI KUMUOA KWA NDOA KHADIJA wamekwishafariki wote
Hiyo miaka nimeitoa 7bu Ninamjua KHADIJA miaka yote alipokuwa anaishi MWANANYAMALA na watoto wake wote ninawafahamu vizuri pamoja na ZUHURA tangu akiwa mdogo kabisa lkn maisha yake mengi ameishi NZANZIBAR na babaake
Inaendelea katika lyrics uliyoandika wewe.Hiyo sijui kaimba nani 😁😁😅😂😂😂😂🤣🤣🤣
Hii chaiHuo mwaka mamaake ndo anaachika katika ndoa yake ya 2 huko nzanzibar na anakuja RASMI dar es salamm na bwana ake ambaye ndo babaake ZUCHU akitimka huko nzanzibaa kuja kujiunga na TOT
Zuchu kazariwa baada kutoka dubai alikokuwa akiimba muzik kipindi ambacho alikaa muda bila band
so ajafikisha miaka 29 kam ilivyoelezwa hapi
Hata kama ajazariwa 2000 basi itakuwa kati 1998 au 1999 na ndo mtoto pekee aliye mzaa NJE ya NDOA na watoto zake wote amewazaa katika NDOA kwa wawili baba mmoja na mmoja OMARY(marehemu) kwa mume wake wa kwanza
Ila cha kusikitisha ni kuwa WANAUME WOTE WALOWAHI KUMUOA KWA NDOA KHADIJA wamekwishafariki wote
Hiyo miaka nimeitoa 7bu Ninamjua KHADIJA miaka yote alipokuwa anaishi MWANANYAMALA na watoto wake wote ninawafahamu vizuri pamoja na ZUHURA tangu akiwa mdogo kabisa lkn maisha yake mengi ameishi NZANZIBAR na babaake
🤣🤣😁😁😁😁Sema fundii sana yule anafanya ubunifu sanaNAKUPENTRAAAAA honeyyyy we unanitesa!!!
Honeyyy [emoji860]honeyyy[emoji860]
Honeyyy[emoji860] ahaa honeyyy
Nimecheka kwenye ile vibuno aiseeee!! [emoji1787][emoji1787]
Zuhura anazingua sana!!
Inaendelea katika lyrics uliyoandika wewe.
Aminaaa
Amina sijui nini
Afu anakuja.. chilote chilote
Watoto wadogo wanataka nipotee
Ni huyo Zuhura kaimba, nilishausikia bar. Ama laaah, niwe nimepoteana na lyrics
Hahahaaa basi inatosha ,Kivumbi leo 😀 😀 😀 ,kula chuma hicho.Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Mbishi tu huyo achana naeZuchu ana miaka 30+ acha maneno mengi,
Kwenye suala la miaka wabongo mnakuaga very sensitive wakati kuzeeka ni lazima, lol
Pia nenda kasikilize interview ya Salama na Zuchu.
Sijui tanesko alie waroga ni nani😁🤣🤣😂Ninapokaa jamani sijui tunabebwa na nini? Hapakatiki umeme kabisa.
Wakazi tushajiuliza hatuna majibu… ila tuko karibu na Hosp ya jiji + jeshi la FFU.
Kizaizai ni ofisini… wakikata saa 2 ni mpaka saa 12.
Mafundi ujenzi wanaupenda sana wimbo.Wimbo wake wa honey umekaa kitoto sana
Mnakerwa wimbo wa Said wewe unakereka. Yeye ni mtoto hajui athari za kuwa nyimbo ya kutrendWimbo wake wa honey umekaa kitoto sana
Upo sawa. Unapofanya biashara, ni muhimu kuzingatia "demographic".Kila mmoja na wateja Kama anapendwa na watoto hakuna shida
Shemeji yake mke mwenzie?Anajishtukia
Chawa wa mondi huyo anamsagia chupa shemeji yake