Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Acha uongo ana miaka 23 tu
Huyo kakaake wa kwanza ukiacha marehemu OMARY ndo kwanza ana 34 now
ZUCHU kazariwa mwaka 2000

Japo kapunguza punguza miaka ila hii yako sijui umeitoa wapi

Screenshot_20230921-014113_Google.jpg
 
Japo kapunguza punguza miaka ila hii yako sijui umeitoa wapi

View attachment 2756471
Huo mwaka mamaake ndo anaachika katika ndoa yake ya 2 huko Zanzibar na anakuja RASMI Dar es Salam na bwana ake ambaye ndo babaake ZUCHU akitimka huko Zanzibaa kuja kujiunga na TOT
Zuchu kazaliwa baada kutoka Dubai alikokuwa akiimba muzik kipindi ambacho alikaa muda bila band
so hajafikisha miaka 29 kama ilivyoelezwa hapo.

Hata kama ajazaliwa 2000 basi itakuwa kati 1998 au 1999 na ndo mtoto pekee aliye mzaa NJE ya NDOA na watoto zake wote amewazaa katika NDOA kwa wawili baba mmoja na mmoja OMARY(marehemu) kwa mume wake wa kwanza. Ila cha kusikitisha ni kuwa WANAUME WOTE WALOWAHI KUMUOA KWA NDOA KHADIJA wamekwishafariki wote.

Hiyo miaka nimeitoa sababu Ninamjua KHADIJA miaka yote alipokuwa anaishi MWANANYAMALA na watoto wake wote ninawafahamu vizuri pamoja na ZUHURA tangu akiwa mdogo kabisa lakini maisha yake mengi ameishi NZANZIBAR na babaake.
 
Huo mwaka mamaake ndo anaachika katika ndoa yake ya 2 huko nzanzibar na anakuja RASMI dar es salamm na bwana ake ambaye ndo babaake ZUCHU akitimka huko nzanzibaa kuja kujiunga na TOT
Zuchu kazariwa baada kutoka dubai alikokuwa akiimba muzik kipindi ambacho alikaa muda bila band
so ajafikisha miaka 29 kam ilivyoelezwa hapi
Hata kama ajazariwa 2000 basi itakuwa kati 1998 au 1999 na ndo mtoto pekee aliye mzaa NJE ya NDOA na watoto zake wote amewazaa katika NDOA kwa wawili baba mmoja na mmoja OMARY(marehemu) kwa mume wake wa kwanza
Ila cha kusikitisha ni kuwa WANAUME WOTE WALOWAHI KUMUOA KWA NDOA KHADIJA wamekwishafariki wote

Hiyo miaka nimeitoa 7bu Ninamjua KHADIJA miaka yote alipokuwa anaishi MWANANYAMALA na watoto wake wote ninawafahamu vizuri pamoja na ZUHURA tangu akiwa mdogo kabisa lkn maisha yake mengi ameishi NZANZIBAR na babaake
Zuchu ana miaka 30+ acha maneno mengi,
Kwenye suala la miaka wabongo mnakuaga very sensitive wakati kuzeeka ni lazima, lol

Pia nenda kaangalie interview ya Salama na Zuchu.
 
Huo mwaka mamaake ndo anaachika katika ndoa yake ya 2 huko nzanzibar na anakuja RASMI dar es salamm na bwana ake ambaye ndo babaake ZUCHU akitimka huko nzanzibaa kuja kujiunga na TOT
Zuchu kazariwa baada kutoka dubai alikokuwa akiimba muzik kipindi ambacho alikaa muda bila band
so ajafikisha miaka 29 kam ilivyoelezwa hapi
Hata kama ajazariwa 2000 basi itakuwa kati 1998 au 1999 na ndo mtoto pekee aliye mzaa NJE ya NDOA na watoto zake wote amewazaa katika NDOA kwa wawili baba mmoja na mmoja OMARY(marehemu) kwa mume wake wa kwanza
Ila cha kusikitisha ni kuwa WANAUME WOTE WALOWAHI KUMUOA KWA NDOA KHADIJA wamekwishafariki wote

Hiyo miaka nimeitoa 7bu Ninamjua KHADIJA miaka yote alipokuwa anaishi MWANANYAMALA na watoto wake wote ninawafahamu vizuri pamoja na ZUHURA tangu akiwa mdogo kabisa lkn maisha yake mengi ameishi NZANZIBAR na babaake
Hii chai
 
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.

Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.

Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Hahahaaa basi inatosha ,Kivumbi leo 😀 😀 😀 ,kula chuma hicho.
 
Back
Top Bottom