Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Zina wenyewe
 
wewe nazuchu nani mkubwa?😁😁
Wewe si ndo mwenye kadi langu la clinic unaniuliza me tena? 🤣🤣

Kwa kukusaidia kwetu kulikua na kumbi ya starehe, bar na gesti maeneo flani (sitayataja) na hiyo band ya TOT taarabu ilikuwa inakuja kupiga pale kila jmos na huyo zuhura tulikuwa tunacheza naye pindi maza ake Hadija akiwa anatumbuiza nyimbo zake za Y2K
 



Kuna wewe unachoamini, halafu kuna vingine ambavyo wengine wanaamini.
 
kwaheri shangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…