Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto Kama Mr nice pugu kariakoo, tupo na zuchu mafuta ya taa yamemwagika....Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Zuchu ndio msanii wa bongofleva mkali kuwai kutokea. Akitokea mtu akakwambia Zuchu hajui basi huyo hajui chochote kuhusu muziki.
32 ni mtoto au unahadaishwa na ule ukavu kama kuti la mnazi?
ULE UKAVU KAMA KUTI LA MNAZI,,,,32 ni mtoto au unahadaishwa na ule ukavu kama kuti la mnazi?
one man down i repeat one man down 🙂🙂🙂sema acha niseme ukweli hii nyimbo yake ya naringa nimeipenda kidooogo😅
haipo kwenye simu yangu lakini😅
hii comment ntakuja kujuta kuiandika
Kama imekuuma lia ukimaliza kunywa maji ulaleULE UKAVU KAMA KUTI LA MNAZI,,,,
hii ni kauli inayotolewa na binadamu ambaye bado hajamaliza kuzaa
Yaan, na hana damu ya nguo sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kuvaa kwake kitoto
TUNAKUMBASHANA TU NDUGU YANGU....TUSIWE NA KIBURI CHA UZIMA NA AFYAKama imekuuma lia ukimaliza kunywa maji ulale
Mahubiri peleka kwa MwamposaTUNAKUMBASHANA TU NDUGU YANGU....TUSIWE NA KIBURI CHA UZIMA NA AFYA
Watoto unawaimbisha honey?? Ngoja mama gwajima akusikieKila mmoja na wateja Kama anapendwa na watoto hakuna shida
Sawa mkuuMahubiri peleka kwa Mwamposa