Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.

Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.

Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Utoto Kama Mr nice pugu kariakoo, tupo na zuchu mafuta ya taa yamemwagika....
 
Back
Top Bottom