Kudhibitiana unakokutaka wewe ni dalili nzuri za kuua demokrasia na uhuru wa kutoa maoni; ni kutaka kuisukuma nchi yetu kuelekea kwenye udikiteta. Kama tunataka kuijenga demokrasia yetu ambayo ni changa, ni lazima tujifunze kuvumiliana, kuheshimu mawazo kinzani, kujadiliana kwa hoja (bila kutumia mabavu), na kueleweshana badala ya kufungana midomo.
Akikujibu unitagMi nadhani tuanze na wewe kwanza,ambaye huwazi chochote Wala ku reason vizuri Mambo! tuambie ile chanjo inayotolewa ni ya nini,!? Ikiwa
1.ukichanjwa bado unaambiwa usiache kuchukua tahadhari za kujikinga
2.ukichanjwa unaweza pia kuambukiza Kama hutachukua tahadhari za kujikinga na maambukizi
Niambie tu ni kosa gani kwenye aspect za criminal amefanya ? na Kama hajafanya kosa katiba imasemaje kwa habari ya freedom of expression and opinion?Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
Naunga mkono hojaSerikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
Mkuu watz ni watu hatari sana kwani enzi za uhai wake jpm kila mmoja alikua ndiooooo sasa kaondoka baasi wamegeuka wakati baadhi yao walikuwa mawaziri miswada walikua wakiiunga mkono na kupiga meza leo wamesahau hawa watu ni nyokaWasomi wa nchi hii bure kabisa!
Acheni watu wawe huru kusema mradi hawavunji sheria.
Wewe bado primitive kabisa licha ya kujiita/kuwa Mwanasheria.
Akili hizi za kijamii ndio zinafanya watu wenye fikra na mitazamo tofauti na serikali au watawala watekwe, wauwawe, wabambikiziwe makesi, n.k.
Serikali ni kikundi cha watu ambacho kinaweza kuwa sahihi au laa juu ya jambo fulani, hivyo usitake wote tuwaze kama wao.
Usisahau ni hawa hawa walikuwa sehemu ya serikali ya Magufuli iliyopinga chanjo ile leo wamegeuka.
Tumia akili yako kutafuta msimamo sahihi kuhusu hili jambo na usiwe bendera fuata upepo.
Pia haitoshi kusema kuwa msimamo wa Tz ni ni kuwa sio lazima watu kupigwa chanjo sasa Kama sio lzm kwajima anashida gani akiwaambia watu ambao hawajui waifuate hiyo ambayo sio lzm?Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
Wanafiki sana hawa watu!Mkuu watz ni watu hatari sana kwani enzi za uhai wake jpm kila mmoja alikua ndiooooo sasa kaondoka baasi wamegeuka wakati baadhi yao walikuwa mawaziri miswada walikua wakiiunga mkono na kupiga meza leo wamesahau hawa watu ni nyoka
Hao ndio wameshusha ubora wa viwango vya michango JF.Kwani wewe ni miongoni mwa hao waumini wake?
Mimi napinga fujo, sipingi haki na uhuru wa kuongea. Fujo na uhuru wa kutoa/ kutoa maoni ni vitu viwili tofauti kabisa.Acha unafiki, ccm sasa hivi haiwezi ushindani wa hoja. Kika siku unashabikia wapinzani kunyimwa haki ya kuongea, ajabu leo unamtetea Gwajima aongee.
Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki.Serikali iheshimiwe

Huyu hapa anajitambulisha kwamba yeye ni mwanasheria, kwa hiyo anazitambua vyema sheria zinazosimamia nchi hii!Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Na usidhani napinga watu wasipate chanjo, kwa sababu najuwa vizuri sana faida zake. Mimi nimechanjwa tayari.Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
No wonder wanafunzi mnaozalisha huko vyuoni wanatoka na vyeti tu.Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
Jibu hoja za Gwajima wala usilete hadithi za kizee hapa!! Chanjo imethibitika kutokumkinga mtu na maambukizi mapya, haimkingi asiambjkizwe hata hoja kuwa itamlinda asiugue kiasi cha kulazwa imethibitika si kweli!! Data za leo toka CDC Marekani ni kuwa asilimia 75 ya waliochanjwa wanaambukizwa, na asilimia 80 ya wagonjwa wa corona waliolazwa walikuwa wamepata chanjo kamili.Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
Sisi kama chama tunamalengo yetu yaani. Gwajima anaelewa anachofanyaSerikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.