Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kudhibitiana unakokutaka wewe ni dalili nzuri za kuua demokrasia na uhuru wa kutoa maoni; ni kutaka kuisukuma nchi yetu kuelekea kwenye udikiteta. Kama tunataka kuijenga demokrasia yetu ambayo ni changa, ni lazima tujifunze kuvumiliana, kuheshimu mawazo kinzani, kujadiliana kwa hoja (bila kutumia mabavu), na kueleweshana badala ya kufungana midomo.
Acha unafiki, ccm sasa hivi haiwezi ushindani wa hoja. Kika siku unashabikia wapinzani kunyimwa haki ya kuongea, ajabu leo unamtetea Gwajima aongee.