Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Halafu bado mleta mada anataka tumuone ana akili Sana. Huko serikarini si ndo kuna mkubwa aliyesema Magufuli ni Mzima wa Afya yuko ofisini?Mkuu ulitaka Generali wa Jeshi la JMT..Aende kinyume na Rais wa JMT ili kitokee nini?
Ulitaka atamka Tarehe tofauti na iliyokubalika na Serkali ili watanzania Wakose imani na Serkali? Halafu kitokee kitu gani?
Kuna Vitu huwa viko Ndani ya Kiapo mpaka unakufa na kama ni Dhambi bhasi utakufanya nayo Ilu kulinda Maslahi ya Serkali iliyopo madarakani