Ifikie hatua tuachiane nafasi

Kwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….
Mtu ukimchoka au ukiwa haumpendi simu zake huwa ni kero sanaa. Na kila saa lazima uwe busy kwake hata kama unachat na watu wengine ikiingia ya kwake unaipotezea. Hata kama upo online whatsapp unaview status za watu (maana yake haupo busy) text yake ikiingia ni kero tu hata kujibu.

Ila kwa mtu ambaye unampenda kweli na penzi ni la motoo hamna ubusy utakaofanya ushindwe kuwasiliana naye. Na hata ukiwa busy ule muda mdogo ukipata ukishika simu tu lazima uangalie kwanza kama alikutafuta. Ukikuta kakutafuta unafuraaaahi mwenyewe unamjibu ukikuta holaaa unanyong’onyea unamtafuta wewe.

Watu wapo sehemu mtandao unasumbua ila wanapanda hadi juu ya miti wa wasiliane na wapenzi wao. Ni suala la kumpenda mtu tu hakunaga ubusy tofauti na hapo ni UMALAYA unaona simu za kila saa zitakuharibia.
 
🤣🤣🤣🤣Kwani we inakuudhi Nini?mi piga tu hata mara elfu as long as Niko sehemu Salama I don care
Sasa unakuta upo Kwa job ndo unakaguliwa na Boss na kuzodolewa juu....ukichelewa kujibu utasikia sms hiyo....umekumbatiwa tayari😕
 
🤣Bas mi nimechelewa sana
 
HUKIKUTA MWANAUME WAKO ANATAKA MPEANE NAFASI HIYO NI TAA NYEKUNDU... PIGA CHINI...
 
Umeeleza kama ilivyopaswa kuelezwa...

Hakuna mtu aliye'busy kwa mtu anayempenda...
 
[emoji1635] Naunga mkono hoja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama Asnat was just chilling... Then Booom...
Atakuwa yule wa Mwenge huyu...
 
Kila mtu na maisha yake jambo la lazima kwako sio la lazima kwangu au kwa mtu yoyote.

Aliekuambia mwanamke lazima aolewe nani ? basi kusingekuwepo na watawa wa kikatoliki kama unafikiri kila mwanamke lazima aolewe au kila mwanaume lazima aoe.
Wao wengi wamezaa nakuzalisha hakuna single hata siku moja usishangae mapadree wanafukuzwa wakisha julikana wanafamilia . Single umeamua wewe na nibora mtu aolewe maana unadhani kupeana kisela huadhiriki unaadhirika sana maana upo tu huna hata mtu wakukusaidia katika maisha haya . Ukiumwa , ukihitaji support yeyote , huna usaidizi wowote . Aisee ni bora uwe una mume anafaida kuwa na mke ni faida sana
 
Hayo kwako yana faida sio kwa wote.

Unafikiri watu wote duniani ni sawa kama ulivyo wewe ?
 
Kweli mkuu hakuna ubize kwenye mapenzii ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…