Ifikie hatua tuachiane nafasi

Sasa unauliza ili iweje alafu aliekwambia mwanaume anaulizwa ulikua unaongea na nani ni nani? Siulizwi na chakula Cha usiku napewa tena najaziwa hadi juu

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio mara ya kwanza nasikua hii kauli, Hivi mnaposemaga mnapenda mwanaume mwenye soko huwa mnamaanisha anae-chepuka au anatafutwa na wanawake wengine ila asichepuke kabisa ?

Mwanaume wa kuombaomba misamaha hatumtakii…. Kila kitu ninekosea wapi nisamehe tunaonaga ni kelele….kuna vikosa vidogovidogo hupaswi kutamka nisamehe na hata ukiomb usiwe unaulizauliza umenisamehee mwanaume una kazaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Tunapenda ila sasa sio kila dakika 15 ni sms halafu hakuna cha maana… mapenzi ya kumisiana ndio matamu

Ukipiga simu asubuhi… mchana tukichart na jioni usiku kuaganaaa kulala
 
Tunapenda ila sasa sio kila dakika 15 ni sms halafu hakuna cha maana… mapenzi ya kumisiana ndio matamu

Ukipiga simu asubuhi… mchana tukichart na jioni usiku kuaganaaa kulala
Unakutana na mwanaume anakutafuta mara moja kwa wiki, si hutaki kero mkuu!! Ukiona kutafutwa ni kero, ujue kuna namna hujapenda tu.
 
🤣
 
Kila mtu ana masaaa 24 ila mtu unayempenda hupewa priority kubwa hata akusumbue vipi haboi na wala hapoi .....kama akiwa busy atajua tu kulingana na schedule yenu
 
Hamna mtu ambaye hapendi kufanya hivyo ila je unayemfanyia hivyo amekushiba kiasi gani. Mtu kama hajakupenda vizuri lazma aone kero. Hata wewe kama mtu humfeel simu yake ni kero tu. Ila unayempenda asipokutafta lazma ujiskie vibaya ila akikucheki burudani ya nafsi 😀
 
Hii ni shida ya kuolewa kabla hujawa tayari.

Umeolewa lakini bado unataka uishi kama bachelor? Ndoa ni kifungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…