Ifikie hatua tuachiane nafasi

Sasa mama mzungu na wenzio msiopenda kubanwa mnanichanganya,,,Kumbe unaongea zaidi ya mara Tano Kwa siku,hujui ni nyingi sana hiyo?wewe basi unapenda tu kupigiwa kama sie wengine

Hahaha hiyo mara tano ni ile asubuhi before hajaingia job,, akiwa anakunywa chai, akila lunch, jioni akitoka kazini na muda wa kulala…. Huo ndio wakati napata muda wa kuzungumza nae.. unaona hapo ni gap kubwa kabisa

Sasa kutana na hii asubuhi anakuchartisha saa2 mkikaa kidogo tena sms… yaaani kila baada ya nusu saa uko poa uko poaaa upo kimya upo bizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]

Halafu ukute sasa anatumia kiswahili cha ajabu xaxa cjui.. p. K, mbaka, hulisi, malamoja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwana Kwa hii comment Yako wadada wote kumbe tunaenjoy tu kupigiwa simu...Sasa Kuna intervaygani kati ya kuamka mpaka breakfast 🀣🀣🀣?
Sema ukidate mtu ambaye humpendi na sio type Yako ndio atakuwa mzigo kwako,,,Kwa mfano huyo Xaxa inakuwajekuwaje mpaka uwe nae si atakuchosha sana....Au ndio kama shemeji yetu Shebby wa Zamaradi "Wanakuonea wivu mke wangu umekuza nyumba ya ULISI achana nao Wana ZALAU sana,wanataka niwatukane nipate ZAMBI"🀣🀣🀣
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaah hii dhalau
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utoto tu huo. Ndio maana viwanafunzi kwangu ni No... No!
Napenda wanaoelekea kwenye u freedom fighter [emoji1787]

Ahhhh we unawezana na mabaharia wenzako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vitoto vitakupa stress urudi utotoni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…