Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Sasa mama mzungu na wenzio msiopenda kubanwa mnanichanganya,,,Kumbe unaongea zaidi ya mara Tano Kwa siku,hujui ni nyingi sana hiyo?wewe basi unapenda tu kupigiwa kama sie wengine

Hahaha hiyo mara tano ni ile asubuhi before hajaingia job,, akiwa anakunywa chai, akila lunch, jioni akitoka kazini na muda wa kulala…. Huo ndio wakati napata muda wa kuzungumza nae.. unaona hapo ni gap kubwa kabisa

Sasa kutana na hii asubuhi anakuchartisha saa2 mkikaa kidogo tena sms… yaaani kila baada ya nusu saa uko poa uko poaaa upo kimya upo bizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]

Halafu ukute sasa anatumia kiswahili cha ajabu xaxa cjui.. p. K, mbaka, hulisi, malamoja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwana Kwa hii comment Yako wadada wote kumbe tunaenjoy tu kupigiwa simu...Sasa Kuna intervaygani kati ya kuamka mpaka breakfast 🤣🤣🤣?
Sema ukidate mtu ambaye humpendi na sio type Yako ndio atakuwa mzigo kwako,,,Kwa mfano huyo Xaxa inakuwajekuwaje mpaka uwe nae si atakuchosha sana....Au ndio kama shemeji yetu Shebby wa Zamaradi "Wanakuonea wivu mke wangu umekuza nyumba ya ULISI achana nao Wana ZALAU sana,wanataka niwatukane nipate ZAMBI"🤣🤣🤣
 
Bwana Kwa hii comment Yako wadada wote kumbe tunaenjoy tu kupigiwa simu...Sasa Kuna intervaygani kati ya kuamka mpaka breakfast [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?
Sema ukidate mtu ambaye humpendi na sio type Yako ndio atakuwa mzigo kwako,,,Kwa mfano huyo Xaxa inakuwajekuwaje mpaka uwe nae si atakuchosha sana....Au ndio kama shemeji yetu Shebby wa Zamaradi "Wanakuonea wivu mke wangu umekuza nyumba ya ULISI achana nao Wana ZALAU sana,wanataka niwatukane nipate ZAMBI"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaah hii dhalau
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utoto tu huo. Ndio maana viwanafunzi kwangu ni No... No!
Napenda wanaoelekea kwenye u freedom fighter [emoji1787]

Ahhhh we unawezana na mabaharia wenzako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vitoto vitakupa stress urudi utotoni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli).

Sasa ndugu, dk 2 nyingi mara video call, simu muda wote, mara hujibu sms Kwa wakati[emoji15] nyiee, tena bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo (nimesema kidogo kwa sababu tuna majukumu pia hivyo isiwe too much) lakini si mwanaume. Waweza dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.

Haya sasa msije sema sijawaambia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom