mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Sasa mama mzungu na wenzio msiopenda kubanwa mnanichanganya,,,Kumbe unaongea zaidi ya mara Tano Kwa siku,hujui ni nyingi sana hiyo?wewe basi unapenda tu kupigiwa kama sie wengine
Hahaha hiyo mara tano ni ile asubuhi before hajaingia job,, akiwa anakunywa chai, akila lunch, jioni akitoka kazini na muda wa kulala…. Huo ndio wakati napata muda wa kuzungumza nae.. unaona hapo ni gap kubwa kabisa
Sasa kutana na hii asubuhi anakuchartisha saa2 mkikaa kidogo tena sms… yaaani kila baada ya nusu saa uko poa uko poaaa upo kimya upo bizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Halafu ukute sasa anatumia kiswahili cha ajabu xaxa cjui.. p. K, mbaka, hulisi, malamoja[emoji23][emoji23][emoji23]