Ifikie hatua tuachiane nafasi

Jamani penzi sio ofisi Hadi mtu awe na vitu vya maana and official vya kukwambia,Mapenzi ni Sanaa Sanaa tu za kunirudisha moyo msiyachukulie serious sana
kwani hamna shughuli za kufanya jamani, sema hili linaweza kua swala mtambuka😂

wakusumbuana wasumbuane ila mimi sipendi,
 
Ndio anakupenda, tena huyo ndo anaupendo wa ajabu, anaweza kufa kwa ajili yako huyo.
 
Huduma anakupa mama
 
🤣
 
kwani hamna shughuli za kufanya jamani, sema hili linaweza kua swala mtambuka😂

wakusumbuana wasumbuane ila mimi sipendi,
🤣🤣🤣🤣Unaupenda sana mtambuka....swali litakaa hivi kwenye UE "With vivid reference discuss major cross cutting issues affecting youth relationship"ndio unaelezea Haya mambo ya kusumbuana advantage na disadvantage Sasa, sawa mwanafunzi😁
 
Kwa ubusy gani bwana 🤣🤣🤣hakunaga ubusy Kwa mtu unaempenda...call ni dakika 2 tu au tatu inampunguzia Nini?
Sema tumekutana wote hatutaki bughuza🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…