Dah afadhali umeelewa ninachomaanisha...Kikubwa tuingie kwenye.mahusiano na watu tuwapendao pasi na shaka itatuondolea kero ndogondogo
I a gree some points of yours , Ila huyu dada anaongea point mtoa mada .Kwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….
Mtu ukimchoka au ukiwa haumpendi simu zake huwa ni kero sanaa. Na kila saa lazima uwe busy kwake hata kama unachat na watu wengine ikiingia ya kwake unaipotezea. Hata kama upo online whatsapp unaview status za watu (maana yake haupo busy) text yake ikiingia ni kero tu hata kujibu.
Ila kwa mtu ambaye unampenda kweli na penzi ni la motoo hamna ubusy utakaofanya ushindwe kuwasiliana naye. Na hata ukiwa busy ule muda mdogo ukipata ukishika simu tu lazima uangalie kwanza kama alikutafuta. Ukikuta kakutafuta unafuraaaahi mwenyewe unamjibu ukikuta holaaa unanyong’onyea unamtafuta wewe.
Watu wapo sehemu mtandao unasumbua ila wanapanda hadi juu ya miti wa wasiliane na wapenzi wao. Ni suala la kumpenda mtu tu hakunaga ubusy tofauti na hapo ni UMALAYA unaona simu za kila saa zitakuharibia.
Kwa nini niishi kwa kumtegemea mtu kwani mimi binafsi sijiwezi hadi nitake msaada wa mtu back. Huyo sio mimi.Kuishi kwa nafasi nikumpata wakumtegemea si kwa pesa tu umeme ukija nitakupa somo
Hujasoma post zangu zoteKwa nini niishi kwa kumtegemea mtu kwani mimi binafsi sijiwezi hadi nitake msaada wa mtu back. Huyo sio mimi.
Wewe hata ukinipigia mara moja kwa mwezi sina tatizo mchumbaMjep acha kihere here nitakupiga block
Una miaka mingapi kwanza we mwanamke ?So special umeme umekuja naanza kukushawishi , huenda umetendwa sana na wewe ulikuwa mwema .
Ila huwezi ishi alone .
Faida za kuolewa ni hizi hapa:-
1. Kuwa na mtu unamtegemea katika kuishi nawe, hutokuwa bored , hutokuwa na mawazo , akili yako kila siku imechangamka , ukitaka mapenzi saa yeyote unapewa , unamtu amabye mnajenga maisha yenu ya sasa na yazamani , unamtu anyekujali, kukupenda , kukusikiliza ,kukishauri, kukuheshimisha unatoka kuitwa dada unaitwa mama , unatoka kuitwa dada unaitwa mke wa mtu , maisha ya ndoa unaongeza familia na wapo tayari katika kukusaidia bado unachakarika kukupata kitu ili mwanao afurahie uwepo , ukiboreka unafamilia yako wanakubembeleza , wanakutoa katika hali ya stress kukuweka katika hali yako ya kawaida,
Hasara yakuwa single ni hizi :-
Unaboreka , huna wakukubusu wakupenda , wakukujali , simu yako tofauti yakazi hakuna wakukuambia i love u sasa huoni utakuwa sio normal, huna wakukutoa stress akili imelala, mapenzi hupewi kazi yako hasira kama saivi .
Hauwezi kuwa nilivyo ndio maana mimi nipo hivi nilivyo na wewe upo hivyo ulivyo.Hujasoma post zangu zote
Thats loveKwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….
Mtu ukimchoka au ukiwa haumpendi simu zake huwa ni kero sanaa. Na kila saa lazima uwe busy kwake hata kama unachat na watu wengine ikiingia ya kwake unaipotezea. Hata kama upo online whatsapp unaview status za watu (maana yake haupo busy) text yake ikiingia ni kero tu hata kujibu.
Ila kwa mtu ambaye unampenda kweli na penzi ni la motoo hamna ubusy utakaofanya ushindwe kuwasiliana naye. Na hata ukiwa busy ule muda mdogo ukipata ukishika simu tu lazima uangalie kwanza kama alikutafuta. Ukikuta kakutafuta unafuraaaahi mwenyewe unamjibu ukikuta holaaa unanyong’onyea unamtafuta wewe.
Watu wapo sehemu mtandao unasumbua ila wanapanda hadi juu ya miti wa wasiliane na wapenzi wao. Ni suala la kumpenda mtu tu hakunaga ubusy tofauti na hapo ni UMALAYA unaona simu za kila saa zitakuharibia.
Mambo yetu wahenga😂😂
Mm nikimpenda ile kisawa sawa mwanaume wangu napenda anicheki ama nimcheki mara kwa mara kila inapowezekana, nisiwe muongo napenda sana.kupigiana sana simu, kutuma sana text ni mbaya, ni dalili ya needyness/clingyness, attention seeking behaviour na narcissism, ubinafsi kiujumla.....
labda upate ambaye anapenda kusumbuliwa
duh, ila mi mshamba wa haya mambo jamani, naonaga watu wanaongea na simu masaa nawashangaaMm nikimpenda ile kisawa sawa mwanaume wangu napenda anicheki ama nimcheki mara kwa mara kila inapowezekana, nisiwe muongo napenda sana.
sijui kubembeleza
33 nanusuUna miaka mingapi kwanza we mwanamke ?
Hajasema hivyoo umemquote wrongEti upo na mwanamke wako then anakuambia, baby let's give each other some space, nawe unafurahia..dude unachapiwa kimyakimya bila kujielewa.
Kwani comment yangu imemquote nani? Acha wenge!!Hajasema hivyoo umemquote wrong
Wewe ni me au ni ke hapa kwanzaHauwezi kuwa nilivyo ndio maana mimi nipo hivi nilivyo na wewe upo hivyo ulivyo.
Unavyo andika ni vitu vya kitoto sana kwako wewe mapenzi yana nafasi kubwa maisha mwako jambo ambalo kwangu halipo nina mambo mengi ya msingi ya kuwaza na kuumiza kichwa changu kuliko upuuzi wa mapenzi au mpenzi usio na faida yoyote maishani mwangu.
Unapaswa kufahamu sijawahi kuumizwa kuhusu mapenzi kwa sababu sio kitu cha msingi kwangu nayo andika ndio msimamo wangu haya tokani na msukumo wa niliyo pitia awali.
kama anapenda pigo za kibabe babe we mlete😂[emoji23][emoji23] Nilitaka nikupe mdogo wangu lkn nimeghairi.