Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Hatuachi kulalamika 🤣
Muone huyu mwenzenu si usiku si mchana mda wote anataka muwasiliane kila muda 😅 ukiwabusy ndio malalamiko yanazidi
Screenshot_20230919_001308.JPG
 
Kuna mwanamke atakuweka bize afanye yake kirahisi uamini anakupenda sana.Ila asilimia kubwa wanawake Wa sasa wanapenda sana bampa to bampa Na hyo ndio kasumba kwa sis watafutaji hatupend hayo mapenz.Ila ukimpata mwanamke muelewa anajua wakat huu uko kazin NJ muda Wa kaz.sasa kuna hiv vingne havielew ndio shida.bila kumpa muda wako haamini kama una mpenda vinataka 24/7 muwe busy kucall,SMS,sijui mambo gani huko ni buguza tupu
 
Back
Top Bottom