Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa shida ni njaa ndio inawapelekea hadi mnalia uongo kwenye kwichili kwichili. 😀Dah afadhali umeelewa ninachomaanisha...Kikubwa tuingie kwenye.mahusiano na watu tuwapendao pasi na shaka itatuondolea kero ndogondogo
Mtu hampendi ila anatamani awe anapandishwa kwenye Toyota Crown na kujipostisha insta. 🤣 Apelekwe Elements kila weekend ili ajiselfie anavunja maisha ila deepdown hamkubali kabisa mwamba kihisia.