Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Dah afadhali umeelewa ninachomaanisha...Kikubwa tuingie kwenye.mahusiano na watu tuwapendao pasi na shaka itatuondolea kero ndogondogo
Sasa shida ni njaa ndio inawapelekea hadi mnalia uongo kwenye kwichili kwichili. 😀

Mtu hampendi ila anatamani awe anapandishwa kwenye Toyota Crown na kujipostisha insta. 🤣 Apelekwe Elements kila weekend ili ajiselfie anavunja maisha ila deepdown hamkubali kabisa mwamba kihisia.
 
Mawasiliano imara ndio nguzo kuu ya mapenzi yalio hai. Ukiona mawasiliano baina yenu yamekufa bila sababu ya msingi ama unatumia nguvu sasa kumtafuta mwenzio yeye hakutafti jua hamna common goal tena. 🤣🤣🤣

Uko sahihi kuhusu mawasiliano. Pia napenda mawasiliano imara.
Nakazia,
MAWASILIANO.
 
[emoji1787] Jifunze kujiheshimu vya kutosha kiasi cha kusema hapana kama hauna hisia na mtu. Usijilazimishe kuwa na mtu ikiwa nafsini hujamridhia hata awe Ginimbi au Bhakresa

[emoji28][emoji28]unajua madhara ya kuwa single lakini…. Unataka niwe nashinda Jf.. Kuna best yangu mpk huwa anaumia anajiona kama ana laana hana mahusiano sms anatumiwa na Voda na tigo…. Anajihisi mpweke hana wa kumuuliza umeamkaje [emoji19][emoji19][emoji19]

Siutaki huo upweke… kimsingi sijawah kumkubalia mwanaume nikiwa nampenda hisia zinakujaga hukohuko kwenye mahusiano… kama nilienae sasa imenichukua mwaka na nusu kumpenda
 
🚶🚶🚶
FB_IMG_16701435606164035.jpg
 
🤣 Heee hii kiboko! Kwahio kumbe hauwezi kuwa single hata masaa 24 tu? We ni tatizooo!!! 🤣🤣🤣
 
Sasa shida ni njaa ndio inawapelekea hadi mnalia uongo kwenye kwichili kwichili. 😀

Mtu hampendi ila anatamani awe anapanda Toyota Crown na kujipostisha insta. 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Tunapitiaga wakati mgumu sana...mtuombee tu,na sisi tuongeze juhudi kwenye sera ya azimio la Arusha kipengele cha self reliance
 
Kumbe hata wewe nyanya tu, siku mbili unaanza kulalama huku unasema hutaki kubanwa[emoji1787][emoji1787]

Kubanwa nisikopenda ni kila muda unataka tuchart
Yaani siku nzima tunashinda kuchart na hakunaa la msingi zaidi ya nimekumis sijui nakupendaa sijui umekula mara uko wapi… basi uwe na story wapii Hakuna..

Mimi na babe wangu tunazungumza kwa siku zaidi ya mara 5 ila sio kila dakika
 
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli).

Sasa ndugu, dk 2 nyingi mara video call, simu muda wote, mara hujibu sms Kwa wakati😳 nyiee, tena bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo (nimesema kidogo kwa sababu tuna majukumu pia hivyo isiwe too much) lakini si mwanaume. Waweza dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.

Haya sasa msije sema sijawaambia.
penzi jipya 😂😂😂
 
Hii nimeipenda kwl kwl ni kitu kigumu lakini Kwenye harakati za maisha hii idea ya Queen Kan inaplay part kubwa Sana sio mahusiano tu ata urafiki ,undugu n.k
Hapo inabidi uwe na uwezo wa lulet go haraka kama speed ya risasi ukiona mambo si mambo, plus uwe na uwezo wa kujiponya nafsi unapovunjwa moyo kwa speed hiyohiyo ya risasi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo ya simu nyingi ,msg nyingi as if kuna emergency mtu amepatwa na uchungu wa kujifungua halafu ukimrudia unamuuliza vipi ulikua unasemaje anaanza niambie nimekumiss baby yani its real stupid
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Utoto tu huo. Ndio maana viwanafunzi kwangu ni No... No!
Napenda wanaoelekea kwenye u freedom fighter 🤣
 
Kubanwa nisikopenda ni kila muda unataka tuchart
Yaani siku nzima tunashinda kuchart na hakunaa la msingi zaidi ya nimekumis sijui nakupendaa sijui umekula mara uko wapi… basi uwe na story wapii Hakuna..

Mimi na babe wangu tunazungumza kwa siku zaidi ya mara 5 ila sio kila dakika
Sasa mama mzungu na wenzio msiopenda kubanwa mnanichanganya,,,Kumbe unaongea zaidi ya mara Tano Kwa siku,hujui ni nyingi sana hiyo?wewe basi unapenda tu kupigiwa kama sie wengine
 
🤣 Bado ni nyingi hizo. You get too much of calls ila unaridhia sababu unampenda.
 
Kubanwa nisikopenda ni kila muda unataka tuchart
Yaani siku nzima tunashinda kuchart na hakunaa la msingi zaidi ya nimekumis sijui nakupendaa sijui umekula mara uko wapi… basi uwe na story wapii Hakuna..

Mimi na babe wangu tunazungumza kwa siku zaidi ya mara 5 ila sio kila dakika
Basi kwa viwango vyangu wewe ni kero, kila dakika unanitafuta nakulima blocku🤣🤣🤣mara tano zote hizo?
 
Sasa mama mzungu na wenzio msiopenda kubanwa mnanichanganya,,,Kumbe unaongea zaidi ya mara Tano Kwa siku,hujui ni nyingi sana hiyo?wewe basi unapenda tu kupigiwa kama sie wengine
Nimemshangaa, mara tano zote hizo na anasema hapendi kubanwa. Huyu kwangu atakuwa kero tu🤣🤣
 
Back
Top Bottom