Sawa mkuu Asante Kwa ushauriWote wataonekana wameoza. Ila wengine ni mazingira au malezi tu kwa sababu hat hivyo toka nizaliwe sijawahi ona wazazi wangu wakitoleana hata maneno machafu. .
Angalia sana jinsi unavyoish na watoto wako watatala kuishi kama wewe. .
You are welcome 😊Sawa mkuu Asante Kwa ushauri
Niko single naenjoyNdoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Mnalazimisha vitu vya starehe na vya show off kuitwa huduma. Huduma ni mavazi, chakula na sehemu ya kuishi ila mastarehe ya ajabu ajabu yanayofuata modernization society sio huduma hizo ni starehe. Siku utakapo kosa chakula, mavazi na pango la kukalia ndio wanawake watajua kutofautisha huduma na starehe. Ishi ndani ya uchumi wako, starehe ni gharama, utaacha hata kutunza na kusomesha watoto wako kisa tu starehe, starehe zinamwisho.Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Ni kweli mkuu,mambo ni vururuvururuMwanaume kutimiza majukum[emoji736]
Mwanamke kuaacha u-sisiter duuh[emoji736]
Ila mwanamke kuchepukaaaa ni jambo jingine kabisaaa ndug yang, mtu anapewa matumizi ya mwaka mzima na chenji inabaki bado watu wanamla
Omba tu mungu akujalie mtu muelewa