Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

Wote wataonekana wameoza. Ila wengine ni mazingira au malezi tu kwa sababu hat hivyo toka nizaliwe sijawahi ona wazazi wangu wakitoleana hata maneno machafu. .

Angalia sana jinsi unavyoish na watoto wako watatala kuishi kama wewe. .
Sawa mkuu Asante Kwa ushauri
 
Mbona kama unapopoa Wanaume!? Acha aisee, huyo mwanamke ni lofa ana hulka za kifala, yaani anatombesha kwa kupewa vocha!…mpaka mnayajua huyo namsikitikia huyo mwanamke na bodaboda wake.

Pumbav huyo!
 
🤣🤣🤣🤣🤣😜
 
Wachoma chipsi, bodaboda, mangi na mawakala
# Mnaupiga mwingi wananguu
# Ila_Yana_Mwisho_Mbaya
 
Madam To yeye mi nataka nikuoe wewe halafu naahidi kuwajibika ipasavyo Kama mumeo.

Nitatekeleza majukumu yangu yote ya ndani haswa kwenye suala la mapenzi
 
Mwanaume kutimiza majukum[emoji736]

Mwanamke kuaacha u-sisiter duuh[emoji736]

Ila mwanamke kuchepukaaaa ni jambo jingine kabisaaa ndug yang, mtu anapewa matumizi ya mwaka mzima na chenji inabaki bado watu wanamla

Omba tu mungu akujalie mtu muelewa
 
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.

NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Niko single naenjoy
 
Kwann hao wanawake wasijizuie tamaa za kutumia simu nje ya uwezo wao?

Kama mume wake hawezi mnunulia bundle kwa wakati anaotaka yeye basi aweke simu tu hapo kando. Akipata atamnunulia bila shida.
 
Mnalazimisha vitu vya starehe na vya show off kuitwa huduma. Huduma ni mavazi, chakula na sehemu ya kuishi ila mastarehe ya ajabu ajabu yanayofuata modernization society sio huduma hizo ni starehe. Siku utakapo kosa chakula, mavazi na pango la kukalia ndio wanawake watajua kutofautisha huduma na starehe. Ishi ndani ya uchumi wako, starehe ni gharama, utaacha hata kutunza na kusomesha watoto wako kisa tu starehe, starehe zinamwisho.
 
Kwann hao wanawake wasijizuie tamaa za kutumia simu nje ya uwezo wao?

Kama mume wake hawezi mnunulia bundle kwa wakati anaotaka yeye basi aweke simu tu hapo kando. Akipata atamnunulia bila shida.
🤣🤣🤣🤣 ....hivi inawezekana?
 
Mwanaume kutimiza majukum[emoji736]

Mwanamke kuaacha u-sisiter duuh[emoji736]

Ila mwanamke kuchepukaaaa ni jambo jingine kabisaaa ndug yang, mtu anapewa matumizi ya mwaka mzima na chenji inabaki bado watu wanamla

Omba tu mungu akujalie mtu muelewa
Ni kweli mkuu,mambo ni vururuvururu
 
Back
Top Bottom